Rafiki mkweli utamjuwa wakati una matatizo................

Rafiki mkweli utamjuwa wakati una matatizo................

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,037
Reaction score
34,742
1016888_677861078908919_1042600695_n.jpg
 
Wenye kusema......ungekuwa umeniambia hili tatizo jana ningekusaidia maana nilikuwa njema.

Pretender WAKUBWA
 
Hapo umemlenga best yangu King'asti ingawa siku hizi kajirekebisha...
 
Last edited by a moderator:
si kila anaeonyesha dalili ya kusaidi jambo ni mkweli toka moyoni

Wengi ni unafiki na wengine wanatafuta fursa zao kupitia tatizo lako

Dunia hii sijui inakotupeleka
 
Hii ni picha halisi ya viongozi wa CCM. Wakati wa uchaguzi utasikia ahadi kibaooooooo, ngoja tu uwape kura na waingie madarakani. Wanafanya haya haya ya kwenye picha. Wananchi tuko shimoni kutoka tunashindwa kutokana na dhiki zetu wao wanakula nchi (rasilimali zetu) bila kujali, uchaguzi ukikaribia wanakuja na ngazi iliyokatika ama iliyo na kutu na kuomba kura tena huku wakitupa ahadi kibao mkinichagua mimi tena nitakuja na ngazi ya zege isiyoshika kutu ama kukatika ili niwatoe huko mliko, nasi kwa ujinga tunawachagua tena. Miaka 52 sasa hakuna lolote, ujinga ni ule ule kama haujazidi.
 
si kila anaeonyesha dalili ya kusaidi jambo ni mkweli toka moyoni

Wengi ni unafiki na wengine wanatafuta fursa zao kupitia tatizo lako

Dunia hii sijui inakotupeleka

Nakubaliana na wewe mkuu! sio wote wanaoonyesha nia ya kukusaidia wanamaanisha hivyo! wengine wanafanya hivyo ili wajue kila kitu na kupata nafasi ya kukuharibia zaidi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom