Asprin
JF-Expert Member
- Mar 8, 2008
- 68,012
- 95,358
- Thread starter
- #41
hata kama mnaaminiana kivipi lakini mie ctaki anitambulishe wala nimtambulishe......hapo tusameheane, urafiki wenu huko huko sio mpaka home kwangu mana najua na yeye nikimfanyia hilo looo hapatakucha.
Sasa itakuwaje ukiwakuta baa siku wanapata mvinyo ndio unatambulishwa huyu ni rafiki yangu. Na kiukweli ni rafiki yake. Utamuamini?