uliyoyaandika yote haya si ungenipa maana yake ndo maana waafrica hatuendelei au ungenipa maana ungebadilika na kuwa ushi wa Rombo?
wabheja sana kaka sasa ubebe unadhani ukudula ukusoma maneno yote humu JF?Inaonyesha umezoea vya kunyonga kuchinja huwezi, check hiyo link...uzembe ndo unasababisha tusiendelee!
https://www.jamiiforums.com/mahusia...is-becoming-a-way-of-life-to-most-ladies.html
wabheja sana kaka sasa ubebe unadhani ukudula ukusoma maneno yote humu JF?
hahaha i beliave my man siyo MBA.Siku nikikamata natoa roho ya mtuU sounds like Mgogo! hahahahaha karibu
sana!
hahaha i beliave my man siyo MBA.Siku nikikamata natoa roho ya mtu
tena ushindwe na ulegee.Au wewe ni MBA?Nitakuja kukutembelea Segerea ama Keko!
tena ushindwe na ulegee.Au wewe ni MBA?
No. I am single and Not Available....and Not Looking
hAHAHA WEWE pADRI?
More than that! Mimi ni Nabii
hahahahahaaa.First lady jihadhari,Nyakati za mwisho kutakuwa na manabii wa UONGO.
I am No a false prophet ...nimeshushwa toka mbinguni......! soma vitabu vitakatifu...
kama wewe ni nabii uliyeshushwa toa ishara tuamini.Hivyo vitabu mfano Bible ,Yesu alivyoulizwa ishara alitoa ya kufa na kufufuka baada ya siku 3.Sasa yako ni ipi?
And after eight days again his disciples were within, and Thomas with them: then came Jesus, the doors being shut, and stood in the midst, and said, Peace be unto you. Then saith he to Thomas, Reach hither thy finger, and behold my hands; and reach hither thy hand, and thrust it into my side: and be not faithless, but believing. And Thomas answered and said unto him, My Lord and my God. Jesus saith unto him, Thomas, because thou hast seen me, thou hast believed: blessed are they that have not seen, and yet have believed. -John 20:26-29
kweli Masa kiboko,pengine kweli nabii.
Lakini imeandikwa vilevile tusiamini kila roho,tuzipime.Dunia ya sasa watu ni ma-pretender hadi basi.Kanisa lako lipo wapi?
Kanisa ni mimi mwenyewe!
Unajua siyo rahisi huyo kijana kuacha kama huyo mama ndo kamfunza hako kamchezo. Kila mtu atakumbuka pale alipoanzia alikaa kwa muda gani na kila mnapoonana mnatamani kurudiana japo kila mmoja ana mwenzi wa ndoa. Huyo kijana avute pumzi au amezee tu na amheshimu mama yake ka ma zamani na asijaribu kulipa kisasi kwani hajui atakakoenda atazoa nini. Atulie maisha hayataki papara.
acha dogo ale mzigop bana!, mshkaji inabidi awe mpole tu, ajue kwamba jamaa sio mshkaji wake tena bali 'baba' yake!!, hahahaaaaaa aaah haa