Kuna siku rafiki wa karibu alikuja kunipa taarifa kuwa kamkuta mpenzi wangu na dada mmoja ambaye ni malaya sana.
Na aliwakuta barabarani wamesimama na akahofia kuwa kuna ishu inaendelea.
Bila kupata ukweli nikagombana na mume, sasa ni mwaka nimeondoka kwangu na rafiki hana msaada tena.
Leo nagundua nilimkosea mume nae Hana habari na mimi tena. Nifanyaje jamani?
Pole sana ila hapo ndio ujifunze kutokufanya maamuzi ukiwa na hasira.
Ila wanaume muwe mna mnatuelewa jamani. Sio mwanamke akisusa nyie mnakula kabisaa.
Sababu wanawake tuna hasira za kila aina.
Ivi unajua ya kwamba namba yako ya Simu Sina??Ila wanaume muwe mna mnatuelewa jamani. Sio mwanamke akisusa nyie mnakula kabisaa.
Sababu wanawake tuna hasira za kila aina.