AgreedBangi iendelee kupigwa marufuku kuokoa vizazi vyetu na vya watoto wetu


Dah ,Pole mkuu ntajaribu kufutilia uandishi wa uzi nyingine kusudi niwe bora nami![]()

First of all ukijiunga na site yoyote Ile ya online before huja comment au kuanzisha topic make sure unajipa all most week 2 za namna ya kujifunza jinsi ya kuweza kuendana na site hiyoLife is about trying and error unapo kosea ndipo unapo jifunza mkuu.
Mimi mwenyewe nimetoka patupuWengi wamekosoa uandishi, nimejikaza nimesoma yote ila sijapata lengo na maudhui ya huu uzi. Kama ambavyo kichwa kilitanabaisha
Issues sio lugha iliyo tumika tu , content nzima haieleweki lengo lake ni Nini !?Jamani tusimsimange mdogo wetu,hizi lugha za kirafiki zinafahamika.Embu tujikite kwenye uzi basi!(mbona hata sisi tunaandika kiswa-nglish ktk post zetu??)
Kijana nimependa hitimisho lako,
Tunapelekwa shule kujifunza western culture,on the same tuishi kiafrika!
1.Shuleni unafundishwa kilimo cha mkono siyo dili,rudi kwa wazee uwambie hivo!!
2.Unaambiwa usitumie kuni na mkaa kupikia,rudi nyumbani uyaseme!
3.Unaambiwa usichaguliwe mchumba (Rejea kitabu "three suitors one husband") ukija nyumbani eti kuna mtoto tunamfahamu OA huyo!
Yapo mengi sana ya ajabu!
Kisa hiki kiamshe haja zetu tulizonazo za kudai mtaala mpya utakaoendana na matakwa yetu(according to our living)
Ila kijana wa chuo inakuwaje kiswahili kinakuletea changamoto kukiandika kwa usahihi,ukiacha yale maneno ya swaga.
Mfano "nika mpeleka" badala ya nikampelea.Kuna maneno ambayo huambatana na viambishi/vitenzi saidizi vyake hutakiwi kuyatenganisha!
Huu uandishi wa kijinga sana
Hivi hili neno meme limekua msamiati mpya nyie vijana... Kuna kitoto nilichukua namba katika kuchati kinaandika meme badala ya mimi... nimekiacha kwa kweli.


kisa meme tuu umekaacha mkuu sio vyemaYaani maneno mengi najikuta siyaelewi.. nimeona tu hapa umri ni shida sanakisa meme tuu umekaacha mkuu sio vyema
Mimi nikiiona uandishi wa namna hiyo siwezi Soma tenaNaomba summary rafik yangu
Nimekumiss halafu
HahahahahChuo unafungua lini?
Wewe umehangaikia wapi mpaka ukakutana nae😆😆pole lakiniYaani maneno mengi najikuta siyaelewi.. nimeona tu hapa umri ni shida sana
katoto ka field ha haWewe umehangaikia wapi mpaka ukakutana nae😆😆pole lakini