Rafiki alieleta zegwee maskani!

Rafiki alieleta zegwee maskani!

Yaani pamoja na ujanja wangu wote wa mjini na hii nusu karne yangu niliyonayo hapa duniani,nimetoka kapa.
Labda nimuite best yangu mtoto wa mjini mwenzangu mrangi anaweza kunifafanulia.
Pole mkuu ntajaribu kufutilia uandishi wa uzi nyingine kusudi niwe bora nami
 
hivi vivulana vya chuo vina upuuzi mwingi halafu kwa akili hizo na uandishi huo unataka uajiriwe...? unaonekana kabisa akili ndogo... Nimejitahid kusoma ila nimeishia njian
Me mbona mkulima tuu mkuu.
 
Back
Top Bottom