Rafa Benitez: Tactician anayeirudisha timu mbovu ya Newcastle EPL

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
125,724
239,332
Hakika kocha mzuri ni muhimu sana kwenye mafanikio ya timu yoyote ya soka .

Huyu jamaa nimemvulia kofia ! Kiukweli hii timu ina wachezaji watatu tu wenye viwango vya kuridhisha , Goalkeeper wao , kiungo Shelvey na Muafrika mmoja winga aitwaye Atsu , wengine wote ni mizigo mizito .

Lakini kwa mbinu na mipango yake uwanjani timu hii inarudi tena EPL .
 
kabisa kabisa mkuu....
 
Asikudanganye mtu, championship ni nyepesi mkuu, kwanza jua iko kati ya ligi kubwa tano zenye uwekezaji mkubwa ulaya.Pia kuna ushindani mkubwa kuliko sana kama ungejua nyepesi angalia timu kama Wigan athletic alichukua ubingwa wa fa alipoelekea yupo daraja LA pili sasa
 
huyu ni kocha bora ameikuta castle ikiwa mkiani akashukanayo cv yake ni kubwa saba hongera benitez
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom