Raia Fulani
JF-Expert Member
- Mar 12, 2009
- 10,769
- 2,544
Kiukweli binafsi napenda kusikiliza hii radio ila ubora wake hovyo. Iko mono sana na frequence zake hazipatikani vizuri. Mbona Praise power, Wapo fm n.k zinasikika vizuri? Tumaini ni redio kubwa sana. Naomba tu huu ujumbe uwafikie. Radio Tumaini haina quality!