Radio Station Kulipiwa Kama ilivyo Kuwa Katika TV Station

Ambiele Kiviele

JF-Expert Member
Dec 29, 2014
15,267
29,906
Kwanin Radio Station

Hazilipiwi Kama ilivyo Kuwa ktk TV Station shida nin........!???????

Anaejua Anijuze
 
Hazilipiwi?

Sina uhalika kwa hilo,
Kiukweli ni chombo cha habari na pia ni chombo cha biashara cha mmiliki husika, so lazima alipie vibali husika na pia ikumbukwe hawa jamaa wanajipatia mapato kupita matangazo mbali mbali, so ni lazima siri-kali ichukue chake
 
Back
Top Bottom