Bora umkanye maana akilewa mambo ya safina utachokaUsanii tu, juzi juzi mkurugenzi alikuwa India anatibiwa (wao maombi hayawaponyi), Mkurugenzi ni tajiri toka alipokuwa auditor wa beer, Mzee, watoto wamekuwa, ila Ana gorofa zaidi ya 10 Njiro hazijamaliziwa finishing!
Tamaa tu na sadaka za wauza Mbona mboga wasiojielewa; haya mambo magumu sana, Mimi mke wangu akienda huko hatorudi nyumbani kwangu tena! Akae huku huko!
😂😂😂😂😂😂Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Hahahahaha umenikbusha fruto mtoto wa mamdogo ilikua ni full kudilute😂😂😂😂 kuna siku akadilute mpka ule weusi umeisha maana bibi.kazi kumwaga mlangoni, ukija kwenye chumvi sasa kuna saa zinamwagwa kitandani mpka ukilala kitandani unajihisi umelala bichi hahahahMkuu usisahau ile fruto inayouzwa pale eti ni damu ya Yesu na yale maji chumvi na mafuta ..wife wangu aliwahi kwenda uko akapeleka shati langu eti niache pombe. .nilichokifanya nikukanyagia mpaka mwisho wese kama lote mwenye akajizimia fegi
Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Hahaaaa dah [emoji1787]Hahahahaha umenikbusha fruto mtoto wa mamdogo ilikua ni full kudilute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku akadilute mpka ule weusi umeisha maana bibi.kazi kumwaga mlangoni, ukija kwenye chumvi sasa kuna saa zinamwagwa kitandani mpka ukilala kitandani unajihisi umelala bichi hahahah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Hahahaaa dah!Wewe huwezi kumzuia mwanamke kwenda kusali ataenda tu
Mimi nilimuona siku moja wife kwenye tv ya mchungaji moja uko kawe anamshukuru Mungu kwa kumaliza ujenzi nikanyamaza tu
Wanapata mafundisho potovu, enzi hyo safina imeanza ilikuwa moto maombi mazuri na neno la Mungu, ila walipoanza kuuza fruto mara chumvi, maji mambo ya kiganga nikaacha kuwafatilia ni wapotoshaji kabisaHahahahaha umenikbusha fruto mtoto wa mamdogo ilikua ni full kudilute[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kuna siku akadilute mpka ule weusi umeisha maana bibi.kazi kumwaga mlangoni, ukija kwenye chumvi sasa kuna saa zinamwagwa kitandani mpka ukilala kitandani unajihisi umelala bichi hahahah
Bora wangekuwa wanaweka nyimbo za injili na neno kuliko maombi fake ya utanunua gari huku huna plan hata bicycle ya phoenix tu inakushinda. Nikiwa mtoto hakukuwa na ujinga huu na mambo yalikuwa smooth kweliKwa jamii ya kikristo vituo vya redio kama safina si ishu sana kuvisikiliza kutokana na vipindi vyao vingi ni abrakadabra na vinachosha kuvisikiliza. Bora wangejaza vipindi vya uimbaji tu kuliko maushuhuda na maombi feki. Wanapoteza wasikilizaji wengi. Mpangalio wa vipindi vyao hauna mvuto
Kwani ujenzi haujamalizika?[emoji38][emoji38]
Wale mimi siwaamini hata kdg maana wamekuja sana pale nyumbani, bibj kila siku kuwaekea mafuta kwenye magari yao waje wafanye maombi home lkn usanii mtupuWanapata mafundisho potovu, enzi hyo safina imeanza ilikuwa moto maombi mazuri na neno la Mungu, ila walipoanza kuuza fruto mara chumvi, maji mambo ya kiganga nikaacha kuwafatilia ni wapotoshaji kabisa
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo pakuonyeshwa na Mungu huwa wanacheza na saikolojia tu, hafu wanapenda waumini wanaotoa sana sadaka ka Bibi yako anavo wawekea mafuta lazima wawe wanakuja tena wanaweza mtabiria kuwa analogwa sana wawe wanakuja kumuombea daily, Kuna sehemu flani ya pastor bonge anapenda kuhubiria sana wadada single Ili waolewe Sasa huyo dada alikuwa hapati mimba akamtabiria kuwa huko tumboni Kuna chatu ndio anazuia mimba, dada alipiga ukunga akadondoka chini kwa nguvu na kuumiaWale mimi siwaamini hata kdg maana wamekuja sana pale nyumbani, bibj kila siku kuwaekea mafuta kwenye magari yao waje wafanye maombi home lkn usanii mtupu
Siku nimeamini hawana lolote ilikua hivi nimemtumia mtoto wa mamdgo picha nimevaa baibui na nipo na nimejitanda mtandio mweusi sasa bibi alikua hajamuona mtoto wangu kwa muda kwa sababu sikue nnimeenda arusha kama 3 yrs, yule mtoto wa mdg akamuonesh bibi ile pic ya mimi na mtoto basi bibi kamind kwa nini nimevaa kiislam lkn kamaind kimy kimya suluhisho ikawa ampigie huyo bariki wa safina kamuelezea alivoona pic yangu na muonekano nliokua nao,. Few months later nikaenda arusha , kma kawaida kawaekea mafuta kuja hom mimi nipo rum nasikia wanaonge baadae nitw nimsalimie bariki, akaanza propaganda kaoneshwa na roho mtakatifu usiku wa jna yake nimevaa baibui na makorokor kibao yasiyo na maana basi nahitji aniombee roho chafu sijui inaykniandm itoke, mimi nikamwambia i worship the true God ambae sio mpka nipitie wewe ndo anisafishe , binafsi nikimwita namwona kweny maisha yangu ten kwa ukubwa mno, akendeleza tararira zake pale baada ya kuona hana hoja akasema tumshukuru Mungu, nikaona mambo yasiwe mengi akaomba hata dakika mbili hazikuisha ila kama sio nilikaza nahisi angemieke mapepo yeye maana anakuona we mvhafu ye msafi
Yani akati ni picha alisimuliwa. Yani wanakula ela za bibi yangu hadi huruma. Ukimtumia tu pesa anakuambia asante hapa nilikua nawaza ntaendaje safina , unatamani upige voda urudishe pesa yako sema ndo hvo ukishampatia mzazi kitu matumizi anayofanya hayakuhusu.[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka hapo pakuonyeshwa na Mungu huwa wanacheza na saikolojia tu, hafu wanapenda waumini wanaotoa sana sadaka ka Bibi yako anavo wawekea mafuta lazima wawe wanakuja tena wanaweza mtabiria kuwa analogwa sana wawe wanakuja kumuombea daily, Kuna sehemu flani ya pastor bonge anapenda kuhubiria sana wadada single Ili waolewe Sasa huyo dada alikuwa hapati mimba akamtabiria kuwa huko tumboni Kuna chatu ndio anazuia mimba, dada alipiga ukunga akadondoka chini kwa nguvu na kuumia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wasipoanza kujifunza kukatika udogoni basi ukubwani hawatoweza kukatika.Bora hao star TV wanalikipindi fulani la wanafunzi wanaonyesha wanakatika humo yani michezo mingine tabu tupu.. mwanafunzi unamuwekea bongo fleva mbele ya kamera anaanza kukatika TCRA hivi hamuonagi hilo likipindi halina maudhui mazuri kwa jamii hususani hao wanafunzi wanakata miuno tu!
Hata kama ni michezo wawe wanaangalia na chakuonyesha mbele ya kamera mengine hayafai wale ni wanafunzi na sio wanenguaji.