Radio Producer | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Radio Producer

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by Radio Producer, Jun 20, 2011.

 1. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #1
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Habari yenu wakuu!
  Mimi Radio Producer, leo tarehe 20/06/2011 nimeamua kuandika kuomba kazi kwa mtu yeyote anaemiliki media house iwe na Radio au TV station. Nimeamua kufikia ombi hili ili kuweza kuruhusu uwezo na utaalamu wangu kutumika zaidi. Zifuatazo ni sifa zangu:-

  1. Nina Diploma level in Media Production.
  2. Nina fanya kazi hizi:- 1. Radio Production (kuandaa vipindi, kuvirekodi, kuviedit, kuandaa matangazo ya biashara, jingles, spots nk) 2. Nafanya kazi za news, ikiwa ni pamoja na collecting, writting, editing and presenting news. 3. Natangaza pia vipindi mbali mbali, nina uwezo wa kutangaza kila aina ya kipindi.
  3. Mimi ni certified international trainer, huwa nafanya training ya media. Ikitokea wafanyakazi wakawa na kiwango kidogo cha kazi tunawapiga kozi kidogo mambo yanakuwa super tena.

  4. Nafanya pia ufundi mitambo wa studioni (Studio technician), huhitaji kuajiri fundi mitambo tena kwa hapo ndani mimi nitamaliza kila kitu.
  5. Nina utaalamu mkubwa tu wa kutumia computer (software za audio kama adobe audition, virtual DJ, BPM studio, Tune Tracker, Google radio automation system, Wav Lab, Na sasa najifunza cubase) Nafanya kazi pia kama producer wa music so tunaweza kudesign music studio kwenye station yako ikaongeza kipato. Kiukweli kuhusu computer hakuna shida wakati mwingine hata kuzitreat huwa najaribu.
  6. Nina mult ideas za kuendesha vipindi vyenye kuleta kipato cha kutosha katika redio. Naweza kudesign programmes ambazo ni total business programs ambazo lazima tu ziingize income ya kutosha.

  7. Nina andaa schedule mpya za vipindi bila shida. Nadhani haya ni baadhi ya mambo ambayo nafanya mimi Radio Producer.

  8. Professional in communication skills, ikiwa nimesoma communications kwa level nzuri tu, naweza kuendesha follow up office kwa radio yako, nafanya counselling pia, nimejifunza audience relation pia.


  Nimeamua kuomba kazi kwa mtu mwenye nia na malengo ya kubadilisha radio yake kuwa yenye kuleta faida mi nipo tayari. Napendekeza pia kama nafasi inakuwepo ukinipa PROGRAM MANAGER, mwenye utashuhudia kazi ilivyo kaa vizuri. Nafanya radio yoyote iwe ya dini au isiyo ya dini. Condtion zangu za maslahi si za gharama sana, tukiwasiliana nina imani hazitakusumbua, naweza kufanyakazi mazingira yoyote cha msingi ni ushirikiano wako. Kwa mtu aliye serious naweza kutoa demonstration period ambayo nitakuja kufanya kazi kwa kudemonstrate tu kanza kabla ya mkataba wa ajira, demonstration period ni wiki 2 ila utanigharimia gharama za chakula, malazi, usafiri wakati nikifanya hizo kazi na posho yoyote utakayopenda wewe. Kwa aliye tayari naomba tuwasiliane kwa PM au email hii: radioproducer@rediff.com

  Asante.
   
 2. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #2
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Experience!??? Umeshafanyia kaz company gan!
   
 3. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #3
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Sifa zako ni nzuri sana mkuu, mwajiri anaweza kupunguza hata watu wa3 wewe ukacover, ila uwe mpiganaji wa ukweli, vinginevyo kila lakheri mkuu!
   
 4. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #4
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Mkuu masuala ya experience au Cv yenyewe ni private zaidi naweza kukutumia kama ni mmoja wa watu wanaohitaji. Nina miaka 3 sasa kazini nimefanya na kampuni nzuri sana tu mkuu naweza kukupa privatly
   
 5. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #5
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Logo. asante mkuu, nasubiri pia ahadi yako ya kwenye post yangu ile ya kwanza
   
 6. Eshacky

  Eshacky JF-Expert Member

  #6
  Jun 20, 2011
  Joined: Apr 26, 2011
  Messages: 966
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  ok! Ni PM bas, twaweza saidiana.
   
 7. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #7
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ohk.....mungu akujaalie....ila angalia na media za kimataifa mdau
   
 8. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #8
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Poa mkuu nakupm saivi
   
 9. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #9
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante sana mkuu, nilifanya mpango wa kufanyakazi China lakini nikakosa sifa moja tu ya kuongea na kuandika kichina! kwakweli napenda kufanyakazi kwenye kampuni yenye uwezo mzuri au mpango wa kupanuka ili tuipanue kwa juhudi zote.
   
 10. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #10
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Mungu akutangulie radio producer, huwa nasoma post zako nyingi sana hapa Jf, nina imani una akili timamu na uwezo mkuba wa kazi, mungu akutangulie!
   
 11. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #11
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante mrembo nina imani na uhakika wa kufanya kazi kwa kiwangi kikubwa sana tu tena sana tu!
   
 12. Logo

  Logo JF-Expert Member

  #12
  Jun 20, 2011
  Joined: Jan 26, 2011
  Messages: 588
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Hongera mkuu ka uamuzi wako, hapo nakuunga mkono na Mungu akufanikishe ukutane na haja ya moyo wako!
   
 13. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #13
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Shukrani mkuu, nimeamua hivi ili utalaamu nilio nao kichwani ufanye kazi zaidi na zaidi! wanasema anayetoa zaidi ndiye anayepata zaidi
   
 14. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #14
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Asante mrembo, nafanya hata video, i can record, edit video. Ni presenter mzuri tu pia wa TV yote yanalipa, Mora anipe haja ya moyo wangu kweli!
   
 15. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #15
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Mkuu umefanya research ya kuanzisha kutuo chako binafsi cha redio? Aim high buddy. You can do it buddy
   
 16. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #16
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Nimejaribu hilo mkuu, kulingana na hali za maisha yetu ya hapa TZ inanilazimu nifanye kwanza kwenye ajira hata miaka kadhaa wakati huo ndiyo nitakuwa najipanga, hilo ni lengo langu maishani!
   
 17. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #17
  Jun 20, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Au mkuu kama unawafahamu watu wanaoweza kunifadhili mitambo yote full set ni about $57000. Kama unao mkuu niunganishie nipige kazi mkuu, mi nipo ready kabisa!
   
 18. Mlachake

  Mlachake JF-Expert Member

  #18
  Jun 20, 2011
  Joined: Oct 13, 2009
  Messages: 2,924
  Likes Received: 634
  Trophy Points: 280
  Aisee nitarudi baadae. Ila kuna shirika moja lilikua linapokea Business Plan za vijana, na kama zimekaa sawa wanapewa capital, mkuu ngoja nifuatilie niangalie kama wana huo mpango tena.
  Hawa jamaa wanaitwa technoserve, na mradi mmoja wa BBB(believe begin become) Kama sikosei jamaa wa Push mobile alitokea hapa!
   
 19. M

  Mtanzania JF-Expert Member

  #19
  Jun 20, 2011
  Joined: May 4, 2006
  Messages: 4,818
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 145
  Soma PM yako mkuu na tuwasiliane.
   
 20. Radio Producer

  Radio Producer JF-Expert Member

  #20
  Jun 21, 2011
  Joined: Feb 4, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 45
  Jitahidi mkuu ukiwapa business plan lipo limeshatulia siku nyingi na Radio imeelekezwa Mtwara! Asante sana!
   
Loading...