Whitney Houston
JF-Expert Member
- Jan 5, 2019
- 242
- 452
oooh!SawaMkono wa iftari, unapiga simu wanakuuliza swali rahisi ukijibu wanakutumia chochote kitu kwa iftari
oooh!SawaMkono wa iftari, unapiga simu wanakuuliza swali rahisi ukijibu wanakutumia chochote kitu kwa iftari
Nilijua tu lazima kila redio itakuja kuiga,maana kwenye redio zetu kila kitu wanaigana sahv karibia redio zote zinafanana vipindi
Seeikali haiwez kuzuia kwasababu inapata asilimia 20 kwa kila pesa inayotoka,kumbuka serikali yetu ina zero brain wengi hawajui kubuni mapato ya serikali kwahyo wanapopata gap za kupata hela kama hz hawawez kuziacha
Asikwambie mtu bia tamu wewe.Hata kama wasingechezesha kamali hakuna jambo la hekima linalofaa kusikilizwa na muumini wa dini kwenye Radio za Tanzania kwa sasa
Muda wote wanapiga muziki wa matusi