Mayu JF-Expert Member May 11, 2010 6,680 10,761 Aug 10, 2019 #1 Wakuu kila jumamosi kuanzia saa 5 asbh hadi saa 7 mchana wanacheza olds za kufa mtu kwa sie vijana wa zamani Kipindi kinanikumbusha mbali sana
Wakuu kila jumamosi kuanzia saa 5 asbh hadi saa 7 mchana wanacheza olds za kufa mtu kwa sie vijana wa zamani Kipindi kinanikumbusha mbali sana
K kichwa mbovu JF-Expert Member Aug 3, 2018 706 503 Aug 10, 2019 #2 Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa
Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa
shululu JF-Expert Member Jan 26, 2015 28,137 109,896 Aug 13, 2019 #4 Kipindi hicho kweli ilikuwa mtaa wa magoma DJ JD na Eddie kichwa mbovu said: Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa Click to expand...
Kipindi hicho kweli ilikuwa mtaa wa magoma DJ JD na Eddie kichwa mbovu said: Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa Click to expand...
Mayu JF-Expert Member May 11, 2010 6,680 10,761 Aug 13, 2019 Thread starter #5 kichwa mbovu said: Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa Click to expand... Kipindi cha kama hiki kipo lini na muda gani kwa RFA mkuu?
kichwa mbovu said: Kipindi yuko DJ JD ilikuwa ni mtaa wa magoma haswa,now napata shida sana kuskiliza Old songs, Hata cha RFA kimepoa sanaaa Click to expand... Kipindi cha kama hiki kipo lini na muda gani kwa RFA mkuu?