Radio imaan

Status
Not open for further replies.
Wanajamvi. Hebu niwaulize swali la kishamba kidogo. "Hivi hawa waandishi wa Radio Iman pamoja na Guest Speakers wao wamesomea nchi gani?". I mean je ni watanzania, wamesoma vyuo vya uandishi tunavyovijua? imekuwaje basi hawawezi kuigilizia waandishi wanzao kwenye radio nyingine na kuendesha vipindi vizuri?
Chungu kumeza
 
Mbona huyo Nyerere kabla hajafa hawakudhubutu kufungua vinywa vyao? wanafiki wakubwa.
 
Mkuu kwa ujumla redio zinazoongea upuuzi huwa sina muda wa kusikiliza na siwezi kuchambua kwa sababu siyo mdau wa kusikiliza nasikiliza redio zenye watangazaji wanaofuata maadili ya kazi

huwa unasikiliza redio zinazokuandaa kuwa zombi. Ama kama unataka usikilize redio na uchambuzi wa hoja zilizoenda shule sikiliza redion Iman kipindi cha mwangaza kwa jamii hakika utaelimika sana. pole kwa jaziba
 

Mimi pia huwa nashangaa sana hizi elimu zingine ! Yaani mtu ana Masters au Phd. kisha anaambiwa mungu alikamatwa kisha akapigwa mpaka akafa ili akomboe hao hao wanaompiga !
Na baada ya kuwakomboa bado wanaendelea na dhambi zao !
 
Last edited by a moderator:
wao kutwaaaaaa kumuongelea nyerere! hawana lingine la kudiscuss. huko aliko nyerere wala hajishughulishi nao. lakini wao kulala na kula nyerere! shame on them!

Wanataka kuzuia mchakato wa Nyerere kuwa mtakatifu !
 
Hapa napita tu wacha kipofu amwongoze kipofu mwenzake
 
Mimi pia huwa nashangaa sana hizi elimu zingine ! Yaani mtu ana Masters au Phd. kisha anaambiwa mungu alikamatwa kisha akapigwa mpaka akafa ili akomboe hao hao wanaompiga !
Na baada ya kuwakomboa bado wanaendelea na dhambi zao !

Bado naendelea kusoma kitabu cha AYA ZA SHETANI NIKIMALIZA nitarudi kuchangia
 
Naomba walau sikumoja nipate bahati ya kuhudhuria kipindi chao ili tujadiliane kwa hoja, huenda kuna vitu hawavijui ama wanavijua ila wanavikwepa kwamakusudi tu.
 
Acha kutudanganya bana...Nani alimwona Nyerere kama Mungu? Watu tunamjua Mungu usitufanye mazezeta..Dhuluma na Ushenzi unauona kwa Nyerere na uliokuwepo na uliopo baada ya Nyerere huuoni? Nyerere aliifanya nchi ilikuwa na heshima na adabu na iliheshimika kimataifa leo Tz. imekuwa tambara bovu..Tatizo lililopo na ndugu zetu waislamu ni kutaka kutunga ukweli Nyerere aliigeuza Tz. kuwa ni Ukristo zaidi ingekuwa ni hivyo angeutaka Muungano wa nini endapo alikuwa anajua Znz idadi kubwa ni Waislamu...Acheni kutugawanya kwa fikra zenu finyu...Nyerere ni Mwanadamu alikuwa na mapungufu..Tz bado tunahutaji Nyerere wa pili nchi itakuwa na adabu kuliko tunavyoongozwa sasa dhuluma na ushenzi umevuka mipaka. Nyerere mkilala mkiamka hamna mtu mwingine nadhani ana mazuri mengi ndio maana mnamchambua kila siku
 
Naomba walau sikumoja nipate bahati ya kuhudhuria kipindi chao ili tujadiliane kwa hoja, huenda kuna vitu hawavijui ama wanavijua ila wanavikwepa kwamakusudi tu.

Wakijua uko kinyume nao hawawezi kukubali uende pale.
 
Mnapoteza muda kusikiliza radio zinazohubiri chuki!
 
Kwa wale wapenz wa radio imaan hebu tune usikie siasa chambuz kuhusu mwalim nyerere na muungano

Kusikiliza Radio Imani ni kupoteza muda; majuha wale utapata nini huko cha kukuchamgamsha akili?!

waache waongee hakuna litakalo badilika! historia ya nchi hii imeshaandikwa na kukauka hakuna watakachobadilisha; kama waliliwa wameliwa, waachane na madrasa wakapige kitabu cha uhakika wapate kazi wasukume maisha vinginevyo watabakia kulazimisha kuwa "Professional wachinjaji" wa kitoweo.
 
Kwa wale wapenz wa radio imaan hebu tune usikie siasa chambuz kuhusu mwalim nyerere na muungano

Hakika Nyerere alikuwa Mtakatifu. Si bure awanyime usingizi hawa jamaa hadi leo hii, kuna nguvu ya mungu ndani yake.
 
Hivi mchakato wa utakatifu unatuhusu nini? NDIYO Maana tunaitwa washari Jamani, ya Mungu Apewe Mungu na ya Kaizari aachiwe mwenyewe

....kwani umehusishwa nao wapi wewe na hao wenzio nisio wajua ?!? :confused2:
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…