Radio Free Africa wananyima haki ya kupata habari

G.25

JF-Expert Member
Jun 12, 2013
1,709
1,809
Habari za muda huu wakuu, poleni na majukumu"

Nijielekeze kwenye mada tajwa hapo juu. Katika ufunguzi wa kituo cha mabasi cha mbezi tumemsikia mh. Raisi akielekeza vyombo vya habari kutoa habari kwa wananchi kwani ni haki yetu.

Na pia alielekeza kutoa habari sahihi bila ukiritimba. Alisema "tusiogope kukosolewa"

Hawa radio free katika matangazo yao ya leo jioni 25. Feb wakati wamejiunga na DW swahili ilipofika kipindi cha maoni ya wasikilizaji, kuna msikilizaji alitoa maoni yake kuhusu korona Tanzania.

Alisema "viongozi wa serekali ndo wanaonekana kuwakusanya watu na bila, wakakata matangazo.

Na hata walipojiunga na BBC swahili ilipofika habari ya wanariadha wa Kenya kutokuja kushiriki mbio za kili marathon ilipofikia mtangazaji anasema Tanzania haijatoa takwimu za corona tangu wakakata pia!

Hii sio haki. Na pia wanaenda kinyume kabisa na kauli ya mh. Raisi.

T.C.R.A iwachunguze.
 
Huenda ile sheria ya kutaka kila chombo cha habari kinachojiunga na vyombo vya habari vya nje viwe na mtu kutoka TCRA. Labda yeye ndo anakata.
 
Habari za muda huu wakuu, poleni na majukumu"

Nijielekeze kwenye mada tajwa hapo juu. Katika ufunguzi wa kituo cha mabasi cha mbezi tumemsikia mh. Raisi akielekeza vyombo vya habari kutoa habari kwa wananchi kwani ni haki yetu.

Na pia alielekeza kutoa habari sahihi bila ukiritimba. Alisema "tusiogope kukosolewa"

Hawa radio free katika matangazo yao ya leo jioni 25. Feb wakati wamejiunga na DW swahili ilipofika kipindi cha maoni ya wasikilizaji, kuna msikilizaji alitoa maoni yake kuhusu korona Tanzania.

Alisema "viongozi wa serekali ndo wanaonekana kuwakusanya watu na bila, wakakata matangazo.

Na hata walipojiunga na BBC swahili ilipofika habari ya wanariadha wa Kenya kutokuja kushiriki mbio za kili marathon ilipofikia mtangazaji anasema Tanzania haijatoa takwimu za corona tangu wakakata pia!

Hii sio haki. Na pia wanaenda kinyume kabisa na kauli ya mh. Raisi.

T.C.R.A iwachunguze.
Possibly wanadaiwa kodi wanaogopa kutonesha kidonda
 
Back
Top Bottom