Radio free africa Kisima cha watangazaji welevu Tanzania

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
8,551
Reaction score
20,346
Great Thinkers.

RFA ilikuwa ni kisima cha kuibua vipaji mbalimbali hapa nchini, watngazajii walikuwa weledi wabunifu na wenye kuielewa taaluma yao ndo maana wakapata nafasi gadi ya kutoka hadi nje ya tanzania, ukiachilia mbali kugombaniwa na radio zingine kama tbc na radio one

Tukisema eti radio zilikuwa chahache ndo maana wakasikika natakaa kwa sababau pamoja na kuongezeka kwa radios hapa tz watangazaji wenye mvuto kama wale hawapo tena wachache wamebaki azam an radio one ambao wengine ni mazalia ya RFA.

Hizi radio zetu za mchongo kutoa mtangazaji aweze hata kwenda BBc au dw ni ngumu sana maana hawana maarifa na weledi kama walivyokuwa RFA, je RFA iliwapata wapi hawa watu maan ahata usomaji wao wa magazeti ulikuwa murua kweli kweli tofauti na hizi radio za kisasa.

1743932785501.png
 
View attachment 3294746
Kabisaaaaa....
 
Enzi hizo njia pekee ya kusikiliza miziki ni kwa radio station, wali tubless sana.

Bila kusahau kujiunga na BBC, DW. Na vice of America.

That was great.
 
Kuna jamaa alikuwa anasimulia filamu za kihindi kila jumapili saa nne usiku kuna siku mwaka 2009 yeye anasimulia filamu na mimi nafanya picha langu la kutisha huku nasindikizwa na wimbo wa rothe rothe.

R.I.P Prince Baina Kamukuru.
 
Hawa jamaa walikuwa wanajituma sana
 
Back
Top Bottom