Radio Clouds Mtavunja Ndoa za Watu

crouds fm haina maadili, ni redio ya wahuni tu, maana wana maneno ya kihuni matupu!
ningekuwa na uwezo ningei unstall kwenye redio yangu!
Wahuni kweli, hayo mambo wanayozungumza ni ya kipuuzipuuzi tu. Naona kazi yao mojawapo ni kupotosha jamii.
 
we unataka wasipige Matangazo watapata wapi pesa...Tushawazoea watanzania kwa kuponda kilicho chema...wewe hauna faida kwao hata usiposikiliza bado wataingiza pesa
 
Perfect Crispin Huwa Anamuita Rais, Mnyama Mkali JPM . Je, Hii Ni Sawa Wadau ?
 
kwahiyo unataka na sisi tuwe mazuzu kama wewe???
 

Mkuu kuna haja gani ya kuwa na ndoa ya kinafiki kama wewe ni kweli unaheshimu ndoa yako kutoka moyoni huna haja ya kuogopa programe za kufichua hila za mwandoa mnafiki na asiyeaminika. Ukweli utakuweka huru siku zote kwa TAARIFA YAKO MKEO/MUMEO ANAPOKUWA NA MPENZI NJE YA NDOA KUNA UWEZEKANO MKUBWA SANA WA WEWE KUUAWA ILI WAPENZI HAO WAENDELEE KUTESA SASA HAUONI CLOUDS WANA KUOKOA UKIJUA MKEO SIYO MWAMINIFU UTACHUKUA TAHADHALI KULIKO KUKAA NAYE KAMA KONDOO WAKATI UNASUBIRIWA UCHINJWE HONGERA SANA CLOUDS FM SONGA MBELE
 
Kivipi wavunje ndoa maana wanandoa unawahalalisha kucheat na kuzini wala tu waumbuke wazinifu ,ndoa iliyounganishwa na Mungu ni vigumu na haiwezekani kuvunjwa na radio kirahisi kirahisi ivyo
 
kwahiyo unataka na sisi tuwe mazuzu kama wewe???
Clouds ni Bora sema cha kuongea hauna zuzu ni wewe Baba zima et unadiliki kusema eti hapa sijui nini.....kwanza huyu alichokipost kipo Siku nyingi katka Jukwaa La Teknolojia syo kigeni kwa watu....wewe usiposikiliza hawafanyi wasiendelee kuwepo wanaingiza pesa kama kawaida
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…