Prof Decentman
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 276
- 140
tupe hints...unafanyaje????
kama ukimwi bado haujapatiwa dawa na chanjo faida ipo...Mkuu hayo makitu hayana faida kabisa
ukiona unasikiliza radio clouds ujue akili zako zinafanana na za hao watangazaji na wamiliki. sikumbuki nilisikiliza lini hao watu. kwanza radio tu hata home huwa haifunguliwi. nina miaka mingi sijawahi washa radio nyumbani kwangu, mimi, watoto wala wife...ulimwengu huo tulishapita.Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...
Mimi nakushauri, siku ndoa yako ilikivunjika kwa mtindo huo, basi wapeleke mahakami amplifier wakukatie kifuta machozi.Kwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...
Good, Mi mwenyewe nna miaka sijafungua redioukiona unasikiliza radio clouds ujue akili zako zinafanana na za hao watangazaji na wamiliki. sikumbuki nilisikiliza lini hao watu. kwanza radio tu hata home huwa haifunguliwi. nina miaka mingi sijawahi washa radio nyumbani kwangu, mimi, watoto wala wife...ulimwengu huo tulishapita.
Kweliukiona unasikiliza radio clouds ujue akili zako zinafanana na za hao watangazaji na wamiliki. sikumbuki nilisikiliza lini hao watu. kwanza radio tu hata home huwa haifunguliwi. nina miaka mingi sijawahi washa radio nyumbani kwangu, mimi, watoto wala wife...ulimwengu huo tulishapita.
Na wewe utakuwa SHILAWADU,ndo mana unasikiliza hicho kiredioKwa masikitiko kabisa naomba kupeleka malalamiko yangu kwa Radio Clouds haswa kipindi cha Amplifier na moja kwa moja kwa mtangazaji Amina. Nimesikia akisema namna ya kupata mawasiliano ya mpenzi wako kwa kusoma watsap msg bila yeye kujua na pia kama unafanya cheating ukiwa hupendi mtu/mpenzi wako asijue kuna program unatikisa tu simu msg zinafutika.
Mambo hayo kwa maoni yangu hayakupaswa kuzungumzwa redioni maana yatachochea wapenzi/wanandoa kuchunguzana na mwisho ndoa nyingi zinaweza kuwa hatarini.
Bahati mbaya sana mida ambapo kipindi kinarushwa ni wakati familia nyingi zinarudi toka maofisini.
Tafadharini, acheni kutoa elimu hii kwa njia ya redio. Madhara yake ni makubwa kuliko faida.
Aksante...
Yupo vzr sana huyu dadaUyo mdada kiukwel afit kabsa kwenye icho kipind in short amekialibu sana!