Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

Si ndio huyu huyu Rais aliekua anasifiwa dunia nzima au ???

Wakwe zangu Wahaya wanasemaga:

"WATI GOZI ARAUNDI OLWEIZI TANZ ARAUNDI"

na shemegi zangu nao wakaongezea kuwa:

"ANI IZE WEI TU GO IZ OLWEIZI A GUDI WAY TU RITANI"

Na mimi nasema kuwa:

... calm down it backfire now !!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 

..muilaumu hiyo redio kama Jpm hakusema hayo maneno.

..kama amesema basi muwe wapole. Hakuna mwanasiasa ambaye hadhihakiwi ktk dunia ya leo.
 
tulikuwa tunaheshimika sana kwa siasa zetu zilizovutia east Africa lkn kwa sasa tumekuwa kama vikaragosi fulani kila rais huyu akihutubia lazima aharibu
 

Una uhakika kuwa Redio za nchini Tanzania nazo huwa haziwazihaki Marais wengine duniani? Fanya Utafiti na punguza Ujuha!
 
.

Jr
 
Je,kweli wewe Pascal Mayalla ndo unajihita Kigogo2014?
Ngoja niendelee kufatilia lakini...
Mkuu Bishweko, sisi humu jf tunasheria zetu, hili ulilouliza kwa mujibu wa sheria zetu ni kosa la name calling.
1. Huruhusiwi kumfananisha mwana jf yoyote na mtu yoyote, hata kama in reality unamjua Pasco wa jf ni nani in reality, huruhusiwi kuuliza au kuhisi Pasco wa jf ndie Pascal Mayalla!.
2. Ukitokea ukamjua Pasco wa jf ndie Pascal Mayalla, ukamtaja humu kuwa Pasco wa jf ndie Pascal Mayalla, unakula ban!.

Hivyo suppose hata kama mimi ndie ningekuwa kweli ndie yule insane Kigogo, jee ningekujibu?.
P
 
Tuandamane

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapo dhihaka iko wapi dogo. Wanakitumia kibwagizo hicho maalum kwa ajili ya kufikisha ujumbe kwa wanasiasa wa Kenya ili wajitambue walivyo.

Kwani kuna uongo kuwa wanasiasa ni kama Shetani? Mwanasiasa kawaida yake hana sura. Kwa lugha rahisi unaweza kumwita ni popo. Hana msimamo thabiti yeye hugeuka kuguatana na upepo. Aliyoyasema leo kesho anayakana hata kabla jogoo hajawika. Kwa nini mtu kama huyo usimwite shetwan.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe! Anachoma majani...inawezekana maana yale macho si bure...asante kwa taarifa mkuu....ngoja na sisi tuanze kurusha madongo
 
Kweli samahani Pascal wa Jf lakini ilo ni swali tu wala msemaji ajasema kua Pascal Mayalla wa Jf ndiye huyo
 
Sheria inasemaje kuhusu hilo kama upo vizuri kiuchumi tafta mwanasheria akutafsirie sheria uingie mahakamani ushitaki radio hii itakuongezea kufahamika na hautakosa uteuzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…