Radio City zone na dhihaka dhidi ya Rais Magufuli

**** Redio moja Uganda inaitwa Bukedde FM ..aisee juzi walikua wanauliza kua kwanini JPM amekataa kuchukua tahadhali muhimu.Na mwisho akasema kua je,wataendelea kumsifia kama walivyokua wanamsifia zamani? Nilisikiliza kupitia App ya Radio Garden...aisee
Bukkedde(kumekucha) inatangaza kwa lugha ya Kiganda. Wanalo gazeti lao na Television pia. Vipi ndugu yangu Kiganda kinapanda?
 
Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani

Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini

Kwa mfano ya baba yenu akiamua kutembea barabarani akiwa uchi watoto wa majirani wakimcheka ni kosa la nani?
 
Umeanza wewe umezoea kusifu, wakosoe na wewe
Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani

Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa many'angau ndio zao!, kila sio wao ni negativity na rais wetu, something which is not good kwenye ujirani mwema, good neighbourhood njema.
P
Wajameni,
Kuna walichomsingizia, kumzushia au kumlisha maneno?
Kazi kwenu wale ambao mnajipaga majukumu ya kuyafafanua, kuyapoza na kuyapaka 'perfume' matamko na matendo yake
Mapambio mema.
 
Hilo ni genge la majunya lisikupe homa
Kuna kibwagizo kimeanza kusikika kwa radio hii ya Kenya iki-quote baadhi ya maneno yaliopo katika hotuba ya Rais wa Tanzania juzi mwisho wa kibwagizo hicho anaongea mtangazaji maneno yasemayo 'sisi wanasiasa ni kama shetani

Awamu hii Rais wetu anadhihakiwa sana nje ya mipaka yetu sijui kwanini

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hawa many'angau ndio zao!, kila sio wao ni negativity na rais wetu, something which is not good kwenye ujirani mwema, good neighbourhood njema.
P
Nasikia jumatatu kuna uteuzi unatangaza,kaa kalibu na luninga utasikia umepata uteuzi,
 
Attachments

  • IMG_20200415_154957.jpg
    IMG_20200415_154957.jpg
    26.7 KB · Views: 1
Back
Top Bottom