AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 1,535
- 3,862
hakuna yesuNa siku ya yesu kurudi utakutwa umelala unaamka unajikuta uko ahela 😂
Radi wapi huko 😀😀Aisee waja tumlejelee Mungu radi iliopiga leo saa nane usiku asee ilikuwa na nguvu sana hadi nikahisi labda siku ya kiama 😂
Wewe mdau hii radi ulikukuta unafanya nini??
Oyaah ile radi ilitoroka kuzimu sio powaMungu wangu taifa linaknsa vijana mashujaa na hii yote sababu yakula chips yai, na maeneji mwishowe tayar mnapatwa na ma BP (bila shaka mtoa mada yupo pwani asa dar) ila ukienda mikoa ya kanda ya ziwa,mikoa ya nyanda za juu kusin asee radi ni jambo la kawaida tena watu hushuhudia madhara ya radi kwa macho yao wakiwa shulen,mashamban au uko mapolin kwenye kuchunga mifugo
Bonge moja ya radi ilipiga hadi umeme ukazima.Hiyo radi inaongelewa kila kona jamani na kila mtu kaiona ina maana katika raia wote wa DSM niliyekuwa nimelala muda huo ni mimi peke yangu???
Labda uniambie nabii ISSA.Sawa utamkuta huko huko
Bonge moja ya radi ilipiga hadi umeme ukazima.
Nyie😁,,Sasa huku ilipiga mchana Moja matata na zingine za kawaida,,usiku likapita tetemeko la ardhi kuelekea ziwani,hapa tunasubiri mda wa kurudi,,Sasa hili tetemeko ingekuwa ni dar wallah raia wangeanzisha Uzi.Aya bonge la radi paaah mara buku ya radi za kanda ya ziwa
Wasalimie hapo magugu.Poleni sana watu wa DIZIM ,sisi huku minjingu hali ilikuwa nzuri kwa wastani.
Unakaribishwa Mkuu ,nimekuandalia kiroba cha mchele.Wasalimie hapo magugu.
Shukran sana mkuu Kwa ukaribisho.Unakaribishwa Mkuu ,nimekuandalia kiroba cha mchele.