Poleni Kwa radi Mkuu
Ila ni vyema Mkaendelea kukaa ndani wakati mkisubiri radi ipite.
Vile vile hakikisheni mnazima vifaa vyote vya Umeme kama TV,Radio, Taa n.k
Kama radi limetokea ukiwa barabarani, tafuta nyumba ya jirani ukajibanze humo.
Epukeni kukaa karibu na miti mirefu
Radi inaua, Chukueni tahadhari