Kingdom_man
JF-Expert Member
- May 19, 2010
- 405
- 463
Huyu mwanamke anaitwa Zhukova Dasha ni Girlfriend wa Roman Abramovich ameonesha dharau ya hali ya juu kwa watu weusi kwa kumkalia mdada mweusi kama kiti on Martin Luther King Day. ikiashiria ubaguzi.
Hii picha ilikuwa posted Twitter na kufutwa mara moja baada ya watu kumshambulia kwa kuonesha kitendo cha Ubaguzi. :angry:
Hii picha ilikuwa posted Twitter na kufutwa mara moja baada ya watu kumshambulia kwa kuonesha kitendo cha Ubaguzi. :angry:
