Hussein Massanza
JF-Expert Member
- Dec 26, 2012
- 1,016
- 2,195
Huyu ni mmoja kati ya wasichana 8 ya wanafunzi bora waliopata maksi 50/50 katika somo Hisabati bila kukosa hata moja katika Mitihani ya Taifa ya Darasa la 7 iliyofanyika nchini mwaka huu, anaitwa Rachel Kiunsi na ana miaka 13. Anasema siri ya mafanikio yake ni kujituma katika masomo na kuwaheshimu wazazi.
Unalipi la kumwambia Mwanafunzi huyu?
Chanzo: EATV