The Father of All
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 10,959
- 13,425
Alichosema mtengeneza maudhui ya kukosoa serikali ya Tanzania ni kuwa Humphrey Polepole amekuwa akihamishwa hamishwa sehemu anazohifadhiwa.
Amedai kuwa anapohamishwa huvishwa nguo nyeusi. Amepelekwa Mbweni kisha Kigamboni.
Rachel amesema wanajisumbua wanaofanya juhudi ya kufungia account zake ila hatoacha kuzungumza. Pia, amemtuhumu Mzee Warioba kuwa ndiye aliyefichua anakopatikana Polepole baada ya kupewa milioni 300