Maswali yangu makuu ambayo hakuna aliyenijibu zaidi ya kusema tu hafai kama vile mwalimu alivyokuwa akisema kuhusu viongozi asiowataka kwasababu zake yeye binafsi bila ya kuangalia matakwa ya wananchi...
1)Sifa za Kiongozi tunayemtaka vs sifa alizonazo R.Mengi
2)Ni nini hasa kipimo cha kiongozi mwenye kufaa kutupitisha kwenye hii transition period.
3)Sifa za kiongozi huyo mwenye kutufaa kwenye transition period vs sifa za R.Mengi.
4)Sifa za viongozi wengine wanaotarajiwa kurun vs za R.Mengi.
Hapo ndipo pale penye maana halisi ya Fair, Respectfull and Honest disscussion on this man.
Kama tukiendekeza chuki tu basi hata yale mema tuliyonayo moyoni hayatutoka bali chuki pamoja na matukano, na pia tuzitafakari fikra zetu dhidi ya wale waliotutendea mema kabla hata hawajawa Viongozi kwani kinyume na hapo ni utovu wa fadhila!
Mwambie achukue fomu za kugombea urais ndiyo atajua watanzania wangapi wanampenda. Maana hiyo ni haki yake. Lakini mwambie asilielie tu wakati wa kampeni maana hapo ndipo unapoweza kutofautisha boys from men in politics
Tunaona hata vyuoni na kwenye maisha unaweza kuwa nia mtaalamu wa jambo fulani na ukawa mweupe kwa jambo fulani...................(i)
Mengi kuwa mfanya biashara maarufu nchini is not sufficient condition that he can make a good president.
From ........(i) gives uongozi wa biashara != uongozi wa siasa
(where != not equal sign)
Umeuliza nini kipimo cha kiongozi mwenye kufaa kutupitisha kwenye hii transition period.
Answer:
Ikependeza kufanya promotion ya mtu ktk siasa kupata nafasi hiyo ya urais yaani mtu anayejua siasa tayari na pia awe anasifa za kiongozi bora,pia ambaye hata gawa kofia ,kanga na t-shirt za kumwaga kwa maana itapotokea hivyo ndio anakazi ya kurudisha mkopo ,na blackmail ina take over.
Hapo ndugu yetu Mengi kakosa sifa ya uzoefu wa siasa anachojua yeye ni kama wale kwenye pool table wanaweza kutaja angle zote za ball kuingia ila hajawahi onekana kushika stick.Tutasemaje kuwa huyu mchezo anaujua,mbona tumeshajadili sana na kusema uongozi si nia njema tu (ambacho kila kiongozi anatakiwa kuwa nacho) ila ni pamoja na uwezo to accomplish those good things due to the approach we get from experience/be familiar.
Vinginevyo labda tuamini tuuu anaweza kwa kuwa kaweza mengine kwa maana ya kuwa a win trust yetu kama ilivyo kwako ,basi tunaweza kusema ok anafaa.
Rekodi yake ya kuyapigania na kuyasimamia yale tunayokabaliana nayo kwa muda wote wa historia yetu ya Tanzania kama umasikini na UFISADI inasema nini?
Naomba pia muangalie upande huo.
Accomplishments zake ni za kiongozi shupavu!
Na hapo bado hajawa kiongozi!
The man is positive and intelligent!
The man ni mzalendo!
The man already fought for poor!
Chuki zisilikoseshe Taifa vipaji ambavyo tunavihitaji kwenye kipindi hiki cha mpito chenye kuhitaji uelewa mkubwa kwenye kukabiliana na brutal forces za ubepari!
Hivi Kuwa Na Fest Ledi Ni Lazima Kumbwa Katiba Inasema Hivyo ? Atakuwa Mke Mkubwa Mama Wa Rodney
ni mtu mzuri kwa kumjua kwa nje. Anao uzoefu wowote katika mambo ya siasa?
I will tell you this, if Mengi was unable to control his male hormones and cheated on his wife of 30+ years what makes you believe he will not try to be crafty and deceive Watanzania?
But should we be judging "presidentialness" on the basis of what prosepctive candidates do in their private lives?
Unajua Mengi wanaomchukia wakati mwingine naona wanamwonea. Hata mimi nilikuwa sijapata muda wa kumsoma vema mzee huyu. Hakuna cha uzoefu katika masuala haya ya siasa. Tukielemea masuala ya uzoefu basi tukiri CCM wana hoja wanaposema "Wapinzani hawana uzoefu wa uongozi hawastahili kupewa nchi"!Mama hao wenye uzoefu wa siasa ndio hao wametutenda. JK hatajawahi kufanya kazi ingine yeyote zaidi ya siasa, lakini tazama anavyotutenda. Kwa hiyo hakuna sababu ya kumkataa huyu bwana kwa sababu tu hana uzoefu wa kisiasa. Binafsi huyu bwana angesimama kama mgombea binafsi ningekuwa naye maana ameonyesha mafanikio makubwa sana katika nyanja mbalimbali kama vile biashara, philanthropy, etc. Ni mfanyabisahara pekee nchini mwetu anayetumia sehemu ya faida yake kwa ajili ya watu wengine wasio na fursa katika jamii. To me, compared to TZ politicians, he is more than qualified to be president. The oly caveat is that he needs to choose to run as an independent candidate.
Naomba kupingana nawe ndugu WildCard, personal life ni nzuri kuigusia lakini inategemea ni katika hoja gani. Ni kweli ukimjua mtu in and out ni rahisi kuweza kushawishika kumpa ama kumnyima kura yako. Pamoja na kuwa namuunga mkono Mengi; yawezekana wakatokea watu wakanifahamisha mengine dhidi ya Mengi ambayo siyafahamu lakini si suala la ana wake wanne au kumi, anatembea na flani na ana watoto 500 nje. Hilo kwangu halina nafasi sana kwani viongozi wengi waliopo na waliopita ni yaleyale.Kwa maoni yangu; PRIVATE LIFE ya mtu ndio mtu mwenyewe hasa na inakuwa na umuhimu wa pekee unapotaka kuwania ofisi ya UMMA.
Can this man lead this Nation towards a successfull way?