R. Kelly’s new 2018 track song (born to my music)

Samcezar

JF-Expert Member
May 18, 2014
13,096
22,627
Jamaa anakipaji sana. Sifa ya wanamuziki wakongwe wa mbele huwa hawaachi loyal fans wao kwa kuanza kushindana na madogo katika industry ya muziki, wanakomaa na vionjo vya asili na kufanya muziki kuwa na ladha tamu kama chakula kilichopikwa na shangazi kutoka kijijini.

R.kelly almaarufu kama KING OF R&B dunia nzima, ameamua kutoa track mpya kabisa yenye flavour ya chocolate factory album, track ambayo maudhui yake ni kuwashukuru mashabiki wake na kuwalipua na utamu wa pure R&B.

Ikumbukwe tu kuwa jamaa amedumu katika industry ya muziki wa R&B kwa miaka zaidi ya arobaini kwasasa na katika kila mwaka amekuwa tishio kwa kuja na vionjo vya nyemvua miguu icheze na kiuno kukatika kama fally ipupa.

Katika track hii ya sasa anajaribu kuwaambia shukurani kwa wale waliokuwapo miaka anaanza shughuli zake za muziki na hadi sasa hawakumtenga. Lakini pia kuwaambia madogo kuwa wengi wao walipatikana baada ya nyimbo zake kulainisha akili za baba na mama zao wakati wakinywa wine pale nyumbani au hotelini na mwishowe mgegedo ukapelekea wao kutengenezwa. Hence, nyimbo zake nyingi amezipa jina la 'BABY MAKING SONGS'.

Huu wimbo kwa sasa bado upo studio na haujaachiwa rasmi kwenye itunes na YouTube ila ametuma clip fupi ya yeye akiwa studio na tyrese wakiuonja huo mziki. Bado nafuatilia ikishatoka nitakuwa mkarimu kushare na ninyi.

Down below nitaweka kipande hicho cha video ili wadau mpate flavour kwa mbaali kabla ngoma haijaachiwa hewani.

R. Kelly is something else kwenye music industry.
 
Karudi tena!!!
Jamaa huwa namkubali sana. Ila this video is not a serious thing.
Jamaa anajua na yupo vizuri katika kudesign music ya soul uplifting. Yaani nyimbo yake akikaa chini akaitengeneza inakufanya ujisikie kama unasikia habari nzuri kama ile ya siku ya uhuru 1961, au feeling ya mwaka mpya.

Last time nilipata hii feeling nilipoisikia kwa mara ya kwanza ile nyimbo ya step in the name of love.
 
Jamaa anakipaji sana. Sifa ya wanamuziki wakongwe wa mbele huwa hawaachi loyal fans wao kwa kuanza kushindana na madogo katika industry ya muziki, wanakomaa na vionjo vya asili na kufanya muziki kuwa na ladha tamu kama chakula kilichopikwa na shangazi kutoka kijijini.

R.kelly almaarufu kama KING OF R&B dunia nzima, ameamua kutoa track mpya kabisa yenye flavour ya chocolate factory album, track ambayo maudhui yake ni kuwashukuru mashabiki wake na kuwalipua na utamu wa pure R&B.

Ikumbukwe tu kuwa jamaa amedumu katika industry ya muziki wa R&B kwa miaka zaidi ya arobaini kwasasa na katika kila mwaka amekuwa tishio kwa kuja na vionjo vya nyemvua miguu icheze na kiuno kukatika kama fally ipupa.

Katika track hii ya sasa anajaribu kuwaambia shukurani kwa wale waliokuwapo miaka anaanza shughuli zake za muziki na hadi sasa hawakumtenga. Lakini pia kuwaambia madogo kuwa wengi wao walipatikana baada ya nyimbo zake kulainisha akili za baba na mama zao wakati wakinywa wine pale nyumbani au hotelini na mwishowe mgegedo ukapelekea wao kutengenezwa. Hence, nyimbo zake nyingi amezipa jina la 'BABY MAKING SONGS'.

Huu wimbo kwa sasa bado upo studio na haujaachiwa rasmi kwenye itunes na YouTube ila ametuma clip fupi ya yeye akiwa studio na tyrese wakiuonja huo mziki. Bado nafuatilia ikishatoka nitakuwa mkarimu kushare na ninyi.

Down below nitaweka kipande hicho cha video ili wadau mpate flavour kwa mbaali kabla ngoma haijaachiwa hewani.

R. Kelly is something else kwenye music industry.
Uandishi wako nimeupenda naweza hata kuombea mkopo nmb
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom