MALCOM LUMUMBA
JF-Expert Member
- Jul 26, 2012
- 21,759
- 71,775
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kahhh aisehhhh R. KELLY nimeshindwa kuamini huo uwezo wake salute sanaaaaa, dah nimecheki dakika wapi nimechoka sio kwa uwezo huo, amefikisha dakika kumi nimeshindwa kuelewa malcomThis is beyond extra ordinary!
Huyu jamaa ameniogopesha aisee.
Heeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
Kwenye RnB huyu siyo King ni god; hana mpinzani aisee.
Huyu jamaa sijui kaumbwaje, wengine wangekuwa washazimia.
Hapa lazima ujue kwamba Mungu amewapa vipaji vikubwa watu weusi; muziki wa dunia hii umeendelezwa na watu weusi na huo ndiyo ukweli hata shetani anaujua.
CC: MGuccI , Red Giant , UncleBen ,
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kahhh aisehhhh R. KELLY nimeshindwa kuamini huo uwezo wake salute sanaaaaa, dah nimecheki dakika wapi nimechoka sio kwa uwezo huo, amefikisha dakika kumi nimeshindwa kuelewa malcom
Aisehhh is agenius of all the time, nina nyimbo zake zote za zamani katika mfumo wa dj collection mix namkubali sana, ila hii clip ndiyo kanichanganya kabisa sijaelewa kabisa huu uwezo hakuna mwana mziki anayeweza alikuaga Whitney Houston na mariah carey kwa mbaliThis is just unexplainable,
Sijui tumuweke kwenye kundi gani huyu jamaa.
Huyu jamaa hapana aisehhh he is the best the king himself dah nimezidi kumshangaaHalafu ni mkali wa miondoko yote. Hip hop, rocky, mpaka zile za kispain sijui mnaziitaje vile.
Wenzetu wanafanya mazoezi ya sauti sanaaaaaaNi zaidi ya pumzi
Aisehhh is agenius of all the time, nina nyimbo zake zote za zamani katika mfumo wa dj collection mix namkubali sana, ila hii clip ndiyo kanichanganya kabisa sijaelewa kabisa huu uwezo hakuna mwana mziki anayeweza alikuaga Whitney Houston na mariah carey kwa mbali
Hebu nipe mueendelezo wa hii kitu plzzzzz, njoo pm nikurushie namba yangu ya whatsapWhitney Houston YES!
Mariah Carey NO!
Ila kama hawa wanaweza kidogo;
Jenifer Hudson YES!
Fantasia YES!
Beyonce YES!
Ila kweny Bongofleva hafui dafu hahahaaa(jokes)Halafu ni mkali wa miondoko yote. Hip hop, rocky, mpaka zile za kispain sijui mnaziitaje vile.
[emoji13] [emoji13] naomba unitumie plzz, unaweza nitumia kwa njia ya whatsapNimefurahi kuangalia video hiyo, sababu ni meimbo huo ulinijia kichwani niliposoma kichwa cha uzi wako.
Nina album zake zoteeeeeeeeeeee
Kuna watu wanajuwa mziki hatiDuuh this is amazing... nimejikuta machozi yaki tiririka
Wish nizipate izo album kwakweli mana nna collection moja ina nyimbo zake zote ila quality sipendezewi nayoNimefurahi kuangalia video hiyo, sababu ni meimbo huo ulinijia kichwani niliposoma kichwa cha uzi wako.
Nina album zake zoteeeeeeeeeeee