R.ip Mrs Sharma

Chibudee

JF-Expert Member
Dec 28, 2016
1,775
2,404
37e1a5122287dbc8418f3d8fd4b534db.jpg
 
movie za kimama kishenz hizo
lakn kla mtu na anacho penda
Kwahili tupo pamoja.

Hakuna movies zenye UONGO na UTOTO kama za kihindi na za kibongo, nafuu za comedy utaassume ni comedies.

Hata nyimbo za kihindi labda za Shahrukh Khan za zamani...zingine zote zina usichana mwingi.
 
hahaha
kwa hiyo rafiki, mimi nawewe huwa tunapishana sana mawazo ee?
mi najua kuna ile topoc yetu na juvenile ndio hua hupendi nikuchane live.

ki ukweli kwa mwanaume na bdvu zako kabsa unachek kitu ya muhindi haijakaa poa
 
hivi mnawezaje kuangalia movies za kihindi?

RIP mwenda zake
Mkuu zamani usingeweza kuziepuka. Picha la kwanza ni lakihindi from saa 5 asubui mpk SAA tisa muda wa kula. Sasa usipoingia mapema hiyo jumamosi ndo imepita hiyo mpaka wiki ijayo.

Sijasahau natoka mburahati mpaka mgomeni kagera kisha naenda tena karibu na Tabata gereji kufanya ukaguzi kuna picha gani zitaoneshwa ili niingie aisee...utoto acheni kabisa.
Huyo mama namkubaligi sana ktk ile picha alikuwa anamwelewa sana Kajol
 
ila ni movie za kimama kwa hilo tukubaliane.
 
Usiangalie za action. Zitakuboa tazama za life story au life love story mkuu zipo poa.
Kwa kipindi cha utotoni tulikuwa tunatizama kinachopatikana hadi isidingo, bold and beautiful, passion, family matters , CTN jpili saa kumi picha la kihindi yaani sisi hatukuangalia vitu vingi ss mladi ni movie tuu hahaaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom