hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.
kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.
RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote
Nahisi wewe ni kigagula cha mlingotini,juu ya nini unajifanya ziraili?hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.
kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.
RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote
hello,
najua sasa ni usiku sana, wengi wenu mmechoka na mnaenda kupumzika sasa.
kiukweli kabisa nisingependa mkose amani ilhali mnapumzika, hivyo kwa kila anayekwenda kupumzika usiku huu nakutakia mapumziko ya amani, kwa lugha ya kigeni ni rest in peace.
RIP kwa Erickb52, Madame B, Bishanga, Mtambuzi, cacico, nitonye na wengine woote
Una maiwaif wewe? Si unaokoteza wake za watu wewe?Heheheeee nikafikiri tusharestishwa in peace aisee kidogo nianze maombolezo.
Asante sana Smiling Saint
Niko na mai waifu tunataka kujimuvuzisha in peace kwa raha zetu!
Una maiwaif wewe? Si unaokoteza wake za watu wewe?
Ututue we @smilling saint,
Cha kutaka kufa ucngzini kitu gani?
Na ole wako nife usiku huu,Utantambua.
kweli kuna watu hamnazo, yaani kwa kujiita tu Smiling Saint inaibisha ID ya Saint Ivuga!!!!
Haya RIP na wewe.