Kaliro X
JF-Expert Member
- Apr 18, 2013
- 749
- 440
Vifaa vya kurekodia mikanda ya video(VCR) vimekuwepo tangu miaka ya 1960, hata hivyo kuanzia miaka ya 1970's katikati ndipo makampuni mbalimbali ya Kijapan na Marekani yalifanya mabaresho makubwa katika teknolojia hiyo. Hii ilikuwa ni asubuhi njema kwa wadau mbalimbali wa teknolojia ya Televisheni duniani.
Bila shaka ujio wa DVDs na Blue-rays katika milenia mpya umeipindua teknolojia ya mikanda ya video ya VHS.
Makampuni makubwa yamekiri kuacha kutengeneza tena mikanda ya aina hii kuanzia mwaka 2017. Uwepo wa teknolojia ya kisasa ya kidijitali nayo inapigilia msumali wa moto katika kifo cha teknolojia hiyo ambayo kwasasa ni kama imepitwa na wakati.
R.I.P. VCRs. Kuna wakati fulani nanyi mlikuwa na umuhimu mkubwa.
By: Simon Kaliro
Teacher/Film maker/IT intreprenuer