R.I.P. to Christian England!

R.I.P. to Christian England!

Kijakazi

Platinum Member
Joined
Jun 26, 2007
Posts
9,211
Reaction score
14,800
islamization has already crossed the rubicon, so sad!

most popular names (grafu pichani) for boys in england
1758564895013.png
 
Majina ndio Uislam au Ukiristo? Kiuhalisia jina lenye watu wengi zaidi duniani ni Mohamed, wapo katika mabara yote hasa Asia na Afrika
Zanzibar hii hakuna nyumba iso na hilo jina ila kwa Wenzetu wapo wanoitwa hivyoo na ni Makafiri tu
 
inaelekea hauelewi kinachoendelea duniani ...
 
Ninaelewa sana, ninafahamu kuwa Uislam unaenea kwa kasi kubwa sana Ulaya na Makanisa yanageuzwa kuwa Masjid...lakini namaanisha Majina si jambo lote Sheikh
 
Whites will come to regret this, kuruhusu Islam kutawala kwenye mabara yao, itawageuka vibaya mno miaka 50 ijayo.

Japo sipendi sana kuongea issues za imani.
 
Freedom of religion.

Hapa wazungu wapo kwenye myego mlubwa wanalalamika urabuni ukristo marufuku , na wao wakikataza uislamu wanakua kama waarabu

self proclaimed democracy nations kazi kwao.

Hata sisi wafrika tulikua na majina yetu, ila sasa ni mwendo wa muarabu na mzungu tu.

Idumu democracy
 
islamization has already crossed the rubicon, so sad!

most popular names (grafu pichani) for boys in england
View attachment 3477522
For me, this change proves that the Bible is true. It predicted that in the last days many people would leave the faith, love would grow cold, and other beliefs would rise. What’s happening now in England shows that Jesus’ prophecy is being fulfilled exactly as it was written. Yamkini ndo mwisho wa dunia unakaribia!
 
Ukiangalia majina mengi hapo ni ya kikristo.

bado hauelewi, kwa lugha rahisi mfano zanzibar ambapo >98% ni muslims halafu watoto wanaozaliwa leo hii wengi wao wawe ni Christian, unafikiri miaka ijayo hali itakuwaje zanzibar kama watoto wanaozaliwa kwa mfano wengi wasiwe muslim ? ...
 
For me, this change proves that the Bible is true. It predicted that in the last days many people would leave the faith, love would grow cold, and other beliefs would rise. What’s happening now in England shows that Jesus’ prophecy is being fulfilled exactly as it was written. Yamkini ndo mwisho wa dunia unakaribia!
Walokole na makafiri mnakazi sana
 
Back
Top Bottom