R.I.P Ruge Mutahaba, umeondoka na mengi

R.I.P Ruge Mutahaba, umeondoka na mengi

Kumwita Tanzania one ni appreciation kubwa sana elewa ukubwa wa diamond Tanzania hii nauheshimu kuliko kitu chochote,maisha aliyotoka mpaka kufikia pale alipo ukimletea chuki mtu kama huyo hata mungu atakulani maisha yako yote kikubwa nimejaribu kuandika ukwel mziki anaoimba sio wa kuishi tena na aachane na mziki wa kubaki katika mipaka yetu tu mana alipokuwa amefikia kipind cha nyuma hakutakiwa kurud tena nyuma
Hujui chochote kuhusu Diamond,ila mtu aliyemfanya Mondi ang'ae kitaifa ni Sallam ambaye alikuwa manager wa AY,kutoboa kwa AY nyuma ya mafanikio yake yamechangiwa na Sallam.Kuhusu Mr Blue kumiliki mjengo umeikuza,kweli ana nyumba ya kawaida ila ipo Kimanga mabondeni mvua ikinyesha anahama,kwa kifupi Mr blue ana hali ya kawaida.

Kama hujui kampuni ya AY ya Unity entertainment,meneja alikuwa Sallam na wao ndio waliokuwa wakiwasimamia Psquare na Davido upande wa EA,show yoyote ya Davido au Psquare EA lazima upitie Unity,hiyo haitoshi Sallam anasimamia kazi za Wizkid EA na meneja wa Wizikid Sunday anasimamia kazi za Diamond Platnumz West Africa.

Kweli ana mazuri yake ila usitake kumpa sifa ambazo sio zake .
 
Ndo unatakiwa ujue kwamba unatakiwa utengeneze mfumo wa utendaji kazi sio unatengeneza mtu mmoja wa kutenda kazi mfano halizi upo Apple Steve Jobs alidanja 2011 lakini hadi kesho kutwa Iphone zinatengenezwa
 
Mbona hujampasha kuhusu mchumba wake Nandy ameshaanza kunenepa labda alikuaa anamuogopa kipindi yupo ndo maana kalikua kembamba fijo.
 
Mijitu mipumbavuy utaijua tu badala ya kufanya kazi linakuja kulilia marehemu JF. Kila kitu hufikia hatua kinabadilika ruge alikuwa binadamu kama binadamu wengine hata angekuwepo asingezuia mabadiliko. Nenda kafanye kazi mamaaaa.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom