R.I.P Ruge Mutahaba, umeondoka na mengi

R.I.P Ruge Mutahaba, umeondoka na mengi

Kipind mond yupo Chini ya ruge umewah kusikia hata ujinga kwenye nyimbo jua alikuwa haruhusiwi kuipeleka hewan bila Boss kuisikiliza ndo mana ulimuona pale..kwel asaiv mond wa kuanza kushindana soko na wakina Marioo huko ni kuwabaka wenzie mana alishapita kwenye level hizo anatakiwa akagombanie soko na akina burna boy huko

unakariri sana.
 
Daaah, mleta uzi una mahaba na Ruge mpk unaboa. Kumbuka kila mtu ana mabaya yke na mazuri yake. Yawezwkana alikuw na mabaya yake ambayo ulikuw huyajui. Waliohusika nae moja kwa moja, wanaweza kukuelezea na hutaamini
 
Hujui lolote wewe, kwani tanzania siyo soko!!??? Hao unaodhani ndiyo level ya Mondi hata wao wamekita mizizi nchini kwao kwanza.
 
nazan pale juu nimemuongelea mabaya yake kidogo ambayo mengi yalikuja kufunikwa na mazuri mengi aliyofanya kwa wengi
 
Sio hivo kwenye mziki Ruge aliyafanya mengi ambayo toka ameondoka yote yanaanza kuondoka taratibu
Pamoja na sifa zote mbona alilalamikiwa kuua kimuziki wasanii ambao walienda tofauti nae, Ruby kumbuka alipoteana baada ya kukataa malipo kiduchu ya Fiesta 2017
 
Hujui lolote wewe, kwani tanzania siyo soko!!??? Hao unaodhani ndiyo level ya Mondi hata wao wamekita mizizi nchini kwao kwanza.
mizizi alishaikita kamaliza asaiv focus yake iwe mbele huko lakin kwa sasa inaonekana kijana wangu karud tena nyuma ingawa nilitegemea kipind kama hichi anapiga show Made in America philadelphia huko kama artist from Africa
 
Pamoja na sifa zote mbona alilalamikiwa kuua kimuziki wasanii ambao walienda tofauti nae, Ruby kumbuka alipoteana baada ya kukataa malipo kiduchu ya Fiesta 2017
Hiyo ndo ilikuwa sifa moja mbaya kwake lakin kumbuka aliwainua wangap baada ya ruby ndo ujue anatolewa kafala mmoja wanapona wengi
 
Ruge hakuwabania sema yeye alikuwa kula uliwe haraf alikuwa anataka mtu mvumilivu ukitaka mfano kamuulize Mr blue kapitia mangap kwa boss lakin alivumilia mpaka anamiliki mjengo magari ya biashara kupitia Ruge huyo huyo waliokimbia tunao mabibo mwisho tunakunywa wote mchuzi wa pweza kwa bonge stand hapa
Mbona huyo jamaa nasikia Wife ake kwao ndiyo mtonyo wa kusaza,So alipata Kitonga ndiyo kimesmoothern yote hayo
 
Hiki ulichokianzisha kijana mwenzangu.wa Mabibo mwisho, ni kama KUFUKUA MAKABURI...!!! Watu watasema mabaya yke mengi ambayo hukuyategemea. Nways, nyuma ya Muleba bar ndo home.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom