mwanapolo
Senior Member
- Mar 29, 2011
- 193
- 56
MotoGP leo imetokea ajali mbaya sana kwenye mashindano yaliyofanyika Malaysia, ajali hiyo ikimhusisha Marco alipo poteza mwelekeo na kuingia kny njia ya Rossi ambapo aligongwa vibaya mpaka Helmet ikavuka! Amefariki dunia hospitalin alipokuwa anapata matibabu.