R.I.P Maligo

R.I.P Maligo

Raia Fulani

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2009
Posts
11,866
Reaction score
4,261
Kwa wale waliomfaham mpiganaji, mwanaharakati, mwanayanga na mfanyakazi wa chuo kikuu udsm ndugu costantine maligo, aliaga dunia siku ya jmosi kutokana na shinikizo la damu. Tulimuaga rasmi pale nkrumah hall leo na msiba kupelekwa kwao musoma. Chuo kikuu tumempoteza mpiganaji na mtetezi, mwakilishi wa wafanyakazi na mwenyekiti wa THTU tawi la UDSM. Bwana alitoa na Bwana ametwaa. Jina la Bwana lihimidiwe
 
Kingi, hivi huyu jamaa alisomea Arusha Tech College miaka ya 80 mwishoni?

Kuna jamaa aliniacha pale na alikuwa na jina kama hilo na sina habari zake zaidi.

Nakumbuka tu kuwa alikuwa akisomea Electrical Engineering na ni mtu wa Musoma.

Hata akiwa pale TCA, alikuwa ni moja ya viongozi (waziri) wa misosi. Wakati wake kama sikosei kulizuka mgomo na ilikuwa kasheshe maana Mzee Isa Mushi wakati huo ni Mkuu wa Chuo kabla hajahamishiwa wizarani, alihaha na kuanza kutoa vitisho vikali ambavyo vilikuwa havimtishi kabisa Maligo.

Awe asiwe, Mungu ampumuzishe na kuwafariji ndugu na jamaaa...... Amen.
 
RIP maligo, Wanamichezo tutakukumbuka
 
ndio yeye mkuu. Wasifu wake ulisema alisoma moshi tech na arusha pia
 
R.I.P Maligo
Mungu awape moyo wa subira ndugu na jamaa zake kipindii hiki cha majonzi.
 
Back
Top Bottom