Wapumzike kwa amani mbele yao nyuma yetuSikuwai kujua user name yake hapa ila huyu ni mwanajukwaa hapa jamii forums.
Ni mwenzetu alikua ni kijana mchapakazi Mwanasheria kijana ndo kwanza alianza kuziona njia za mafanikio.Mungu ameamua kumuita kwake.
Katika familia yao walikua wamebaki watoto wawili tu.Mungu kaamua kuwaita wote kwa Siku moja.
Hawa ndugu zetu wamepata ajari ya gari uko kigamboni baada ya gari yao kulivaa Lori na wote kufariki dunia.RIP Malema na mdogo wetu Stella.
Wapumzike kwa amani. Mkuu huwezi fanya mambo yako tukajua id yake ya humu?Wapumzike kwa amani mbele yao nyuma yetu
[emoji27] [emoji22] [emoji144] [emoji40]Wapumzike kwa amani. Mkuu huwezi fanya mambo yako tukajua id yake ya humu?