Uhembe Member Joined Mar 10, 2012 Posts 97 Reaction score 36 Dec 8, 2013 #1 Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ?
Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 360,354 Reaction score 829,594 Dec 8, 2013 #2 Ndio halafu wakapumzika Siku 3 bila kufanya kazi
alphonce.NET JF-Expert Member Joined Jul 19, 2013 Posts 1,721 Reaction score 6,074 Dec 11, 2013 #3 Uhembe said: Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ? Click to expand... Uliza na kama rais wao alikuja kuhudhulia mazishi
Uhembe said: Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ? Click to expand... Uliza na kama rais wao alikuja kuhudhulia mazishi
Gwangambo JF-Expert Member Joined Jun 30, 2012 Posts 3,637 Reaction score 1,208 Dec 11, 2013 #4 Uhembe said: Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ? Click to expand... Hii nayo ni joke?
Uhembe said: Naomba kujuzwa... alipofariki hayati Nyerere... South Africa walishusha bendera nusu mlingoti.....? Naombeni jibu... ? Click to expand... Hii nayo ni joke?
KB THE DON JF-Expert Member Joined Aug 16, 2013 Posts 250 Reaction score 117 Dec 11, 2013 #6 Labda ngoja tuutafte ukwel ap
Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 Dec 11, 2013 #7 Mandela alikuja baada kama ya wiki 2 hivi. alinikuta uwanja wa ndege mwanza. wakampa chopa kwendea butiama
Mandela alikuja baada kama ya wiki 2 hivi. alinikuta uwanja wa ndege mwanza. wakampa chopa kwendea butiama
W Wisest man JF-Expert Member Joined Jul 29, 2013 Posts 993 Reaction score 332 Dec 13, 2013 #8 Mapolomoko said: Mandela alikuja baada kama ya wiki 2 hivi. alinikuta uwanja wa ndege mwanza. wakampa chopa kwendea butiama Click to expand... Alikukuta unafanya nini? na wewe ulikuwa hapo kama nani hadi mandela akukute?
Mapolomoko said: Mandela alikuja baada kama ya wiki 2 hivi. alinikuta uwanja wa ndege mwanza. wakampa chopa kwendea butiama Click to expand... Alikukuta unafanya nini? na wewe ulikuwa hapo kama nani hadi mandela akukute?
kweyamba_dave JF-Expert Member Joined Oct 2, 2012 Posts 961 Reaction score 484 Dec 13, 2013 #10 bendera ilishushwa nusu mlingoti na mandela alikuja baada ya muda yaan baada ya mazishi alisema hawezi kushuhudia mazishi ya mwalimu aliogopa kufa kwa mshtuko au shinikizo.ILA HILI SIO JUKWAA LAKE
bendera ilishushwa nusu mlingoti na mandela alikuja baada ya muda yaan baada ya mazishi alisema hawezi kushuhudia mazishi ya mwalimu aliogopa kufa kwa mshtuko au shinikizo.ILA HILI SIO JUKWAA LAKE
Uhembe Member Joined Mar 10, 2012 Posts 97 Reaction score 36 Dec 13, 2013 Thread starter #11 Jukwaa lake ni wapi?
Mapolomoko JF-Expert Member Joined Feb 16, 2013 Posts 1,751 Reaction score 422 Dec 14, 2013 #12 Wisest man said: Alikukuta unafanya nini? na wewe ulikuwa hapo kama nani hadi mandela akukute? Click to expand... kama Mapolomoko. ulitaka anikute kama nani na kwani yeye ninani mpaka asinikute? tumia ubongo nasi matope.
Wisest man said: Alikukuta unafanya nini? na wewe ulikuwa hapo kama nani hadi mandela akukute? Click to expand... kama Mapolomoko. ulitaka anikute kama nani na kwani yeye ninani mpaka asinikute? tumia ubongo nasi matope.