R.i.p Joseph Kisinane Njau Tarimo

R.i.p Joseph Kisinane Njau Tarimo

He died of kidney complications
my mother, my aunts , we the nieces and nephew are devastated
he was our pride and joy being the only boy of 6 sisters. Their baby brother
haya ni mapenzi ya Mungu.
 
Joseph K.N. Tarimo mtoto wa mwisho wa mzee K.N. Tarimo (mwanzilishi wa Kibo Breweries Ltd) amefariki leo asubuhi jijini Nairobi alipopelekwa kwa ajili ya matibabu.

R.I.P Joseph

I have known Joseph kwa muda mrefu sana. He's a man who is very close to my heart. Amekuwa na matatizo ya sukari, ambayo yamesababisha figo kushindwa kazi. I miss him already.....He will truly be missed by many.
 
I am Joseph's niece it's hard to believe his gone we are still in shock please remember us in your prayers
I think someone wanted his pic here it is

R.I.P in View attachment 41959peace Uncle Jo

Hi Lisapeace, kwanza poleni sana kama familia. I lived in Moshi back 16 years and I used to know that brother Kisinane ambae ndo aliweka infrastructure zote za then Kibo Brewries. I remember he also died. Lakini pia nilimjua mzee Kisinane mwenyewe yaanai baba yao kina Frank? Sasa Joe ni mjukuu wa Mzee Kisinane the old man or the bother who was driving those cream and black range rovers? Is Frank alive?
 
Mkuu makofia acha tabia za kiswahili una uhakika kwamba alikuwa akiugua figo !



Endelea na respect lakini penye ukweli lazima tuuseme hata kama unauma kiasi gani.Kuficha sababu za kifo cha marehemu hakusaidii wala hakumpunguzii heshima yake.

Tunapenda sana ku-assume vitu tusivyo na uhakika navyo. Mimi ni mtu wa karibu sana na hii familia. Huyu alikuwa anafanyiwa dialysis pale Aga-Khan before he was sent to India for Kidney Transplant.. Tanzanians need to change from this stupid assumption syndrome. Utakuta anayesema atakwambia yeye amesikia na huyo aliyemuambia atakuwa amesikia toka kwa mtu aliyesikia au aliyehisi... We need to change and grow up...
 
Hi Lisapeace, kwanza poleni sana kama familia. I lived in Moshi back 16 years and I used to know that brother Kisinane ambae ndo aliweka infrastructure zote za then Kibo Brewries. I remember he also died. Lakini pia nilimjua mzee Kisinane mwenyewe yaanai baba yao kina Frank? Sasa Joe ni mjukuu wa Mzee Kisinane the old man or the bother who was driving those cream and black range rovers? Is Frank alive?

Joseph is the son of the late mzee Kisinane Tarimo, so joseph is half brother to frank, cornel and the late Emmanuel, they share one father

Frank is alive and in dar although i have not met him
 
Tunapenda sana ku-assume vitu tusivyo na uhakika navyo. Mimi ni mtu wa karibu sana na hii familia. Huyu alikuwa anafanyiwa dialysis pale Aga-Khan before he was sent to India for Kidney Transplant.. Tanzanians need to change from this stupid assumption syndrome. Utakuta anayesema atakwambia yeye amesikia na huyo aliyemuambia atakuwa amesikia toka kwa mtu aliyesikia au aliyehisi... We need to change and grow up...

Kweli ELIMU ya UKIMWI bado sana, aliyekuambia VIRUS vya HIV vinaua nani? Huo ugonjwa ni Dalili tosha za uwepo wa HIV, Kwani kinachhua ni Magonjwa Nywmelezi na linaloongoza kwa sasa bongo ni KISUKARI!
 
Poleni sana wafiwa. Simfahamu ila nimewahi kuwasikia sana. Kafa na nini na kivipi sio muhimu sana kwa sasa na katika forum hii. Mungu awape faraja ya kutosha katika kipindi hiki.
 
Kweli ELIMU ya UKIMWI bado sana, aliyekuambia VIRUS vya HIV vinaua nani? Huo ugonjwa ni Dalili tosha za uwepo wa HIV, Kwani kinachhua ni Magonjwa Nywmelezi na linaloongoza kwa sasa bongo ni KISUKARI!

... Note the key word you used ... DALILI !!
... If you wish you may contemplate on it!!
 
Hi Lisapeace, kwanza poleni sana kama familia. I lived in Moshi back 16 years and I used to know that brother Kisinane ambae ndo aliweka infrastructure zote za then Kibo Brewries. I remember he also died. Lakini pia nilimjua mzee Kisinane mwenyewe yaanai baba yao kina Frank? Sasa Joe ni mjukuu wa Mzee Kisinane the old man or the bother who was driving those cream and black range rovers? Is Frank alive?




Asante sana yes Frank is alive
uncle Joseph alikuwa mtoto wa mwisho wa babu, half brother wa (frank na kaka yake corone )mama yao moja alafu marehemu emmanuel mama yake mwingine .
 
Back
Top Bottom