R.i.p iron lady wangari

Kachest

Senior Member
Nov 6, 2010
191
20
R.I.P Prof. Wangari Maatai, mwanamke wa kwanza kupata Phd EA, nakukumbuka ulivyopambana na utawala wa imla wa Toroitich Arap Moi,
nakukumbuka kwa kutetea haki za akina mama pamoja ma mazingira kwa ujumla. R.I.P Prof. wangu
 
Oooooo! I did'nt know she is no more. I do really remember how she used to quarrel with Moi who believes women have little brain compared to men. May Almighty God Rest Her Soul In Peace. Amen.
 
Back
Top Bottom