R.I.P Daktari wa Muziki Ramadhani Mtoro Ongara....Hakika hili ni pigo kwa tasnia ya muziki Tanzania...Kweli kifo hakina huruma....Hakika nitakukumbuka kwa mchango ako mkubwa katika kuendeleza na kuutangaza uziki wa Tanzania ndani na nje ya nchi...
Pole ziwafikie familia hasa mkewe Tony na watoto Kalimangonga(Kally),Jessica,Goddy na wengine....Raha ya milele umpe ee bwana na mwanga wa milele umwangazie apumzike kwa amani....Amina