Akili Kichwani
JF-Expert Member
- Jan 7, 2010
- 1,508
- 222
Mungu hahusiki jamani, hebu someni vizuri kitabu cha Ayub mtaelewa alisema maneno hayo bila ujuzi bila kufahamu kilichokuwa kikiendelea kati ya Mungu na Shetani na isitoshe katika Ayub sura za 42 alitengua usemi huo na yale yote akidhani Mungu ndiye alikuwa akimtendea. Wachungaji walitudanganya, tukafikiri Mungu anahusika katika vifo vinavyotokea. Wengine wanasema "Tulimpenda marehemu lakini Mungu kampenda sana au Mungu anavuna alichopanda. Lakini unaweza kuangalia matokeo ya vifo kwa mfano. Unaaenda kutembeza umalaya unakumbana na virus vya ukimwi baada ya muda unakufa, Mungu ndiye aliyekutuma ufanye umalaya??? si alisema mzinzi hataurithi ufalme wa Mungu sasa atakutumaje. Jambo tunapaswa kujifunza ni kwamba Mungu karuhusu kifo cha mwanadamu lakini hasababishi kifo hicho, kuna tofauti kati ya kurusu na kusababisha. Ukitaka maelezo zaidi soma kitabu cha Mhubiri.
Hivyo usemi huo tunaendelea kuutumia kimakosa. Mimi namuomba Mungu aipe nguvu za familia ya mzee Remmy kukabiliana na msiba huu kwani ni kipindi kigumu kwao cha kumpoteza mpendwa wao. Na aiangalie familia hiyo ili iendelee kupata mahitaji yake ya kila siku. Amen.
kifo hakina huruma R.I.P Dr.Remmy
Usiku wa kuamkia leo majira ya saa 8 usiku mwimbaji mkongwe hapa nchini ambaye kwa sasa alikuwa kaokoka na kuimba nyimbo za kwaya, dr.remmy ongalla amefariki dunia. Kwa hiyo hatunaye kwa sasa. Kama una laptop weka song lake hapo ofini kwako uanze kuomboleza.
Waitu mwikalege, omukama ababele, obahe omugisha gwe.
Baada ya kuokoka , aliwahi kushuhudia kwamba alikuwa anatumia mizimu kupata nyota na mara kadhaa alikuwa akinywa damu ya binadamu.
Hata hivyo, hajawahi kusema damu hiyo alikuwa anaipata wapi.
Tatizo la damu za siku hizi , ukute alikunywa yenye virusi....
Anyway, RIP Ongala, nyimbo zako nilikuwa nazipenda sana, kama vile Mola nalilia mtoto, Narudi Songea, Nakulilia Mola wangu nk.......