R. I. P Baba yangu..

Pumzika kwa a man I babamkubwa wangu..
Umetuachia pengo kubwa kwenye familia, ulitupenda sana wanao. Tutamiss hekema na upendo wako Baba mkubwa Inshallah Allah akuremu
Amin.
Pole Mkuu...Pole sana
 
Kama nimekuelewa vizuri, binafsi huwa sielewi wanaofiwa na kuja kutoa taarifa za msiba humu muda mfupi baada ya kufiwa.
Na una muona mfiwa akijibu comments kila dakika.
sasa sijui hata hizo shughuli za msibani anazifanya saa ngapi..?
haya mambo ndio yamepelekea mpaka kukawa na vikundii vya
kulia na kuomboleza kwa kugaa gaa msibani huku wafiwa wakiwa
online kutoa updates and kujibu comments za msiba.

Mwafwaaaaa.....
 
Wanakuja kuomboleza na familia ya JF..Where do they get this courage?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom