Mugabe one
JF-Expert Member
- Nov 15, 2016
- 2,327
- 1,684
Allah wapi? jibu kwa nini iko hivyo? Kitabu na mienendo ya waumini kuwa tofauti?Allah ndio mjuzi wa maswali yako magumu muombe akuoteshe ndoto za majibu
Allah wapi? jibu kwa nini iko hivyo? Kitabu na mienendo ya waumini kuwa tofauti?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] napita tu mkuuTusitafutiane ban
Mmmh, kumbe ni hatari ndio maana boko haram waliwateka watoto wadogo na kuwatia mimba!!!Ukiua kwa kupigania dini unapata haki ya bikra 72 kule juu mbinguni mara baada ya kifo chako kwa wale wafia dini kama hao vijana wa makundi ya kiharamia jamii ya bokoharamu
Huko mbinguni kuna mito ya pombe za kila aina, hivyo vilivyo haramu huku duniani mbinguni ni halali kabisa hii ni kwa mujibu ya Qur'an kitabu kitakatifu
Mti wenye matunda,ndio upigwao mawe.Makundi yote ya kihalifu,yanaanzishwa na nchi za magharibi,kwa kutumia mgongo wa uislamu,mbona hii imeshajulikana mda mrefu,au wewe ndio mpya mitandaoni?Wapendwa mwanajf, nawasalimia kwa heshima zote!
Wote tuliopo hai duniani leo hii Dini zote tulizikuta zipo baadaye tukaaminishwa na kuamini tulichoambiwa!
Thread hii haitafuti dini IPI bora wala dhehebu lipi bora kuliko jingine.
Quran ni maandiko matakatifu katika imani za kiislam ambacho kuna machache ya yaliyomo katika Agano la kale ndani ya bibilia yamo pia katika quran.
Quran imeandikwa vizuri tu lakini lugha iliyotumika huenda haieleweki kwa wasomaji wengi ndio maana waislam walio wengi ni wepesi sana kushawishika hata kutenda maovu ambayo hata kitabu cha quran hakijayagusia hata chembe.
Jambo hili limekuwa nikinifanye ni waze sana kila mara kwa nini waislam wengi hushawishika kirahisi kutenda maovu hata mara tu wakitoka nje ya jengo la Ibaada?
Kwa nini makundi ya kiharifu yamejaza vijana wengi wa kiislam?
Kwa nini Boko haram hutembea na quran huku wakiendesha mauji holela?
Kwanini kundi la alshabab, Islamic state, alqaida, Abboosafayy, Alnusrrah nk wote hutembea na quran huku wakiendesha mauaji ya holela?
Kitu gani huwafanya waislam watofautiane na kitabu kitakatifu hicho cha Quran?
Tupia jicho mataifa yote ya kiislam utakuta mengi yana vurugu nyingi lakini Quran IPO na husomwa kila Siku.
Je quran imeelekeza kutopenda amani? Au viongozi walioenda masomo zaidi ya kuifahamu Quran ndio wapotoshaji wakubwa kwa waumini waumini wao?
Karibuni tuelimishane vizuri kwa kuepuka lugha chafu ili tusimkosee Mungu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Makundi yote ya uhalifu,yanaanzishwa na nchi za magharibi.Mbona hii imeshajulikana mda,na toka kujulikana hili,mbona uhalifu wa makundi haya,umepunguwa sana.Hata kutajwa katika vyombo vya habari ,sio sana tena.Unajua waislamu wana makundi yapatayo 72 kifupi (madhehebu) kwahiyo mtume ( s.a.w)/alisema kakika makundi hayo yote ni moja tu ndilo la ukweli ndio litakaloingia peponi kwahiyo kila mmoja yeye ndio mkweli mauaji hayataisha kwasababu hakuna wa kumfuata mwenziwe
Sent using Jamii Forums mobile app