mwandende
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 11,832
- 22,386
Yesu alisafiri kutoka nazareti kwenda galilaya alifikaje?Alifikaje Mecca
Yesu alisafiri kutoka nazareti kwenda galilaya alifikaje?Alifikaje Mecca
Mkuu uislam ulikuwapo kabla ya kuja mtume Muhammad (saw) .
Watu baada ya miaka mingi walijisahau na kuanza kuabudu masanamu.
Ushawahi kumuuliza mchungaji wako kanisani kwann ili uwe mkristo lazima ubatizwe?
Kwann mtoto hazaliwi hali ya kuwa mkristo hadi atiwe maji..(abatizwe)
Ndy ujuwe mtu yeyote anapozaliwa anaziwa na Dini ya asili ambayo ni islam..
Hata ktk qurain inasema wazi kwamba habari hzi zipo kwenye vitabu vya ibrahim na mussa,,
Surat sabihisma.
Hao wasomi ndy wanaowavuruga na kuhalalisha ndoa ya jinsia moja.Mkuu, tafuta wasomi wa kikristo wakupe shule juu ya ubatizo, una maana gani na ni kwanini mtu anabatizwa.
Tatizo mnapenda sana kupotosha juu ya imani za watu wengine na mnajiona wamiliki wa ukweli.
Muddy pia aliadopt vitu vingi toka Latino, hasa taratibu nyingi za kitabibu na elimu ya nambari.Faraja za kidezi mkishashiba na kuvimbiwa tende. Endapo mudi angeanzisha uislamu kivyake bila kuiga kwa wayahudi na wakristo ingekuwa na mantik kama buddha na hindu.
Hata ile yake mudi ya kupenda farasi mwenye mabawa aliitunga baada ya kusimuliwa stories za Alexander the great yani jamaa
Hapa tusije tukataka kuwadanganya hawa watu siku hizi wanasoma Quran. Mtume alisema yeye ndo mwislamu wa kwanza na majini yalifuatia. Leo ile ya kusema Ibrahim alikuwa muislamu ni uongo ambao tutamfanya mtume naye aonekane muongo. So epuka kudanganya kwa waziwazi watu wataleta maandishi hapa itakuwa issue.Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.
Gaza for Palestinians..
Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...
Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.
Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Acha miemko mkuu,mtu akizaliwa anakuwa mpagani na pia ana ile dhambi ya asili aliyoachiwa Adam na Hawa,kubatizwa lengo lake ni kuondoa ile dhambi ya asili waliyoachiwa mababu zetu kwa kumkosea mungu,hata yesu mwenyewe alibatizwa ili kuondolewa dhambi ya asiliHao wasomi ndy wanaowavuruga na kuhalalisha ndoa ya jinsia moja.
Ukwl ni kwamba dini yoyote ambayo sio ya MUNGU,, lazima ubatizwe baada ya kuzaliwa,,
Dini ya MUNGU huwezi kubatizwa wakati wazazi wako wote ni wafuasi ya dini ile.
Ndy maana ukiwa mfuasi wa dini ingine na ukitaka kuslimishwa,,
lazima upewe maneno yatakayokufanya uwe muislam automatically.
Lakini ukizaliwa unakuwa muislam automatically sababu ya baba yetu Adam na Eva..
Hata hindu lazima ubatizwe uwe hindu.
Ukristo lazima ubatizwe ili uvue ile dini yako ya asili uliyozaliwa nayo..
Siku zaa mtoto na usimbatize kama utakubaliwa kuingia nae kanisani,,
Hizi ni story za Magomeni mwembechai kwenye vijiwe vya kahawa baad ya swala ya Magharibi mkisikiliza kanda ya Ustadh MazindeKama Ibrahim hakuwa muslam mbona makaburi yao hayana misalaba kama mengine ya kikristo?
. Ibrahim hakuwa muislam Makha alifata nn?
Ukristo umeanza baada ya yesu kufa.
Sababu hata yesu mwenyewe alikuwa muislam..
Hakuwa mkristo.
Hoja hujibiwa kwa hoja.Hizi ni story za Magomeni mwembechai kwenye vijiwe vya kahawa baad ya swala ya Magharibi mkisikiliza kanda ya Ustadh Mazinde
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.
Gaza for Palestinians..
Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...
Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.
Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Dah!! Kwahyo Mungu nae alikuwa na dhambi ya asili akabatizwa?Acha miemko mkuu,mtu akizaliwa anakuwa mpagani na pia ana ile dhambi ya asili aliyoachiwa Adam na Hawa,kubatizwa lengo lake ni kuondoa ile dhambi ya asili waliyoachiwa mababu zetu kwa kumkosea mungu,hata yesu mwenyewe alibatizwa ili kuondolewa dhambi ya asili
Nipe neno lolote linalosema yesu alibatizwa ,,na amebatizwa na nani?Hayupo mtu anayehangaika na uislamu, hayo ni mawazo yako
- Uislamu ulianza lini?
- Unajua huwezi kuswali bila kutumia lugha ya kiarabu? Huyo Sulemain alikuwa anatumia lugha ya Kuarabu kuswali?
Soma Biblia ya Kiswahili, Kiingereza, Kiarabu na tafsiri zingine zinaeleza Yesu kristo alizaliwa kwenye zizi la ng'ombe, alibatizwa, alisurubiwa msalabani, akazikwa na akafufuka. Je, Quran inaeleza hivyo kuhusu Issa?
Kama Issa maana yake ni Yesu, je tafsiri ya Biblia ya lugha ya kiarabu inamtaja Issa?
Quran 46: 09
Sema: Mimi si kiroja miongoni mwa Mitume. Wala sijui nitakavyo fanywa wala nyinyi. Mimi nafuata niliyo funuliwa tu kwa Wahyi, wala mimi si chochote ila ni mwonyaji mwenye kudhihirisha wazi
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.
Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".
Andiko zima, rejea hapa chini:
Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:
[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]
And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”
— Surah Al-Isra 17:104
And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”
— Surah Al-Ma'idah 5:20-107
Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?
Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?
Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.
Gaza for Palestinians..
Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...
Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.
Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Dini ya kiyahudi ilikuwepo miaka elfu nyingi, hata kabla ya Yesu. Ukristo umekuwepo kwa takribani miaka 2,000. Usilam upo kwa takriban miaka 600. Sasa Waislam kuyataka maeneo matakatifu ya Wayahudi, kama eneo lilipokuwa hekalu enzi za mfalme Suleman, au hata maeneo yale ya Betlehem alikozaliwa Yesu kabla ya uislam kuanza, ni nani anayetaka kufuta historia za wenzake?
Hata yale maneno ya kudai eti Adam na Ibrahim alikuwa muislam, Isaka alikuwa muislam au Yakobo alikuwa muislam, ni faraja za uwongo. Yaani watu wawe waislam kabla ya uislam kuwepo? Kwa mwenye akili, hata kama ni muislam, atajua ni uwongo.
Uislam umeanzishwa na Muhamad miaka 600 tu iliyopita.
Kama Ibrahim hakuwa muslam mbona makaburi yao hayana misalaba kama mengine ya kikristo?
. Ibrahim hakuwa muislam Makha alifata nn?
Ukristo umeanza baada ya yesu kufa.
Sababu hata yesu mwenyewe alikuwa muislam..
Hakuwa mkristo.
Na wale wenye mafuta ya miujiza na kuponya viwete, wagonjwa na mapepo nao wanatumia nini? tupeni na sisi siri zao.Mimi siyo mtaalam wa Quran, lakini kufuatana na maelezo ya wasomi wa dini ya kiislam, wanasema wanaotumia majini, au wale wanaojiita wataalam wa nyota, wote ni wachawi wala hawatumii neno la Mungu.
Kama Uislamu ni dini ya haki hao majini walishindwaje kurudi kwenye makazi yao?Kama uislam umeanza majuzi,,
Mnabatiza watoto wenu wakristo ili iweje?
Kama mama mkristo na baba mkristo mtoto anazaliwa anakuwa sio mkristo kwann?
Kwann musilam akizaliwa hapelekwi kwa shehe kubatizwa awe muislam
Wacha kushupaza shingo... uislam ulikuwapo kabla ya mtume Muhammad (saw)
Ndy dini ya haki ya kuabudu MUNGU wa kweli, kwetu sisi binadamu na majini.
Hawa ni wakorofi sn, kama wanaona maandiko yanawakwaza kwanini wasiedit?Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?
Umeshatoka tena kwa Ibrahim kuwa Muislam umeingia huku. Sasa twende na lipi? Nikwambie tu hata Mtume Muhammad S.A.W alipozaliwa alikuwa ana dini yake ya asili ambayo sio uislamu hadi anakuwa mkubwa.Nipe neno lolote linalosema yesu alibatizwa ,,na amebatizwa na nani?
Hivi MUNGU nae anabatizwa?
Au leo YESU sio M
Wamechinjwa watanzania wawili na Hamas wapo kimya, ingekuwa Israel ndiyo imefanya hayo wangeandamana, hawa ni wajinga haswaNipo naangalia TV IMAAN hapa wanaongelea mgogoro wa Palestine. Jamaa mmoja anasema kuwa UN ilianzishwa na Wayahudi (Israel) na marekani pia ni mtoto wa Wayahudi.
ENDView attachment 2845469