Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Dini ya kiyahudi ilikuwepo miaka elfu nyingi, hata kabla ya Yesu. Ukristo umekuwepo kwa takribani miaka 2,000. Usilam upo kwa takriban miaka 600. Sasa Waislam kuyataka maeneo matakatifu ya Wayahudi, kama eneo lilipokuwa hekalu enzi za mfalme Suleman, au hata maeneo yale ya Betlehem alikozaliwa Yesu kabla ya uislam kuanza, ni nani anayetaka kufuta historia za wenzake?

Hata yale maneno ya kudai eti Adam na Ibrahim alikuwa muislam, Isaka alikuwa muislam au Yakobo alikuwa muislam, ni faraja za uwongo. Yaani watu wawe waislam kabla ya uislam kuwepo? Kwa mwenye akili, hata kama ni muislam, atajua ni uwongo.

Uislam umeanzishwa na Muhamad miaka 600 tu iliyopita.
Kama Ibrahim hakuwa muslam mbona makaburi yao hayana misalaba kama mengine ya kikristo?
. Ibrahim hakuwa muislam Makha alifata nn?

Ukristo umeanza baada ya yesu kufa.
Sababu hata yesu mwenyewe alikuwa muislam..

Hakuwa mkristo.
 
Al-Aqsa Mosque iko Jerusalem, Kaburi la Ibrahim liko Hebron upande mojawapo ni Sinagogi upande wa pili ni Msikiti Hebron iko West bank au Judea-Sumeria. Huo Msikiti Waislam wanauita Masjid Ibrahim
Alqas mosque ipo gaza na sio Jerusalem.

Walichofanya wazayuni ni kutengeneza hekalu lao lenye jiwe la njano juu..

Wakati Masjid Aqsa lipo Gaza na juu kuna jiwe jeusi.

Sio jiwe la njano ambalo wamejenga wayahudi.

Uzuri wa waislamu history za dini kuanzia kitabu cha Quran hadi vyote tumehifadhi kwenye mioyo na vifua vyetu,
Sio rahisi ku edit wala kubadilisha chochote.
 
Hakukuwahi kuwa na nchi inayoitwa Palestina kamwe
Hilo ni Jina, Hata Jina Tanzania limeanza 1964 ina maana hakukuwa na watu kabla ya hapo?

Israel yenyewe imeanza 1948 kabla ya Palestina paliitwa jina jingine kabisa.

Wayahudi ambao ni intelectual wakubwa wanaoheshimika kina Einstein, Chomsky na wengine kibao wanapinga hilo Taifa na uwepo wake ambao sio halali, Chomsky mwenyewe Anasema asili yake yeye ni khazar, tunaishi ulimwengu wa Sayansi na Technology hili suala Wala sio la kubishana Kuna mamia ya Studies yanaonesha Wapalestina wa Sasa na walioishi maelfu ya miaka ndio hao hao.
 
Kama Ibrahim hakuwa muslam mbona makaburi yao hayana misalaba kama mengine ya kikristo?
. Ibrahim hakuwa muislam Makha alifata nn?

Ukristo umeanza baada ya yesu kufa.
Sababu hata yesu mwenyewe alikuwa muislam..

Hakuwa mkristo.
Mecca Ibrahim hakuwahi kufika...

Waislam wote duniani wanajua na kuamini Makaburi ya Ibrahim, Wake zake Yusuph, Rebeca waliishi na Kuzikwa Kaanani na Hebron, hakuna sehemu yoyote katika Hadithi za Waislam zinazosema Ibrahim alifikaje Mecca, na pia Hata Waislam hawana uhakika kama Mecca ya Quran ni Mecca ya Saudia au Petra Jordan
 
Mecca Ibrahim hakuwahi kufika...

Waislam wote duniani wanajua na kuamini Makaburi ya Ibrahim, Wake zake Yusuph, Rebeca waliishi na Kuzikwa Kaanani na Hebron, hakuna sehemu yoyote katika Hadithi za Waislam zinazosema Ibrahim alifikaje Mecca, na pia Hata Waislam hawana uhakika kama Mecca ya Quran ni Mecca ya Saudia au Petra Jordan
Hadith gani unazosema hazizungumzii ibrahim na uislam?

Soma Quran..

Hizo ni propaganda za wazayuni kuhadaa wagalatia wenzao.
 
Hadith gani unazosema hazizungumzii ibrahim na uislam?

Soma Quran..

Hizo ni propaganda za wazayuni kuhadaa wagalatia wenzao.
Hakuna sehemu kwenye Quran inasema Ibrahim alifikaje Mecca, na kama huko Mecca walikuwa na Sarah au Hajir Mmisiri. In short Quran ni story za kubumba
 
Hakuna sehemu kwenye Quran inasema Ibrahim alifikaje Mecca, na kama huko Mecca walikuwa na Sarah au Hajir Mmisiri. In short Quran ni story za kubumba
Nimekupa hadithi zinasema kwamba Ibrahim alipofika Makha akajenga lqaba.

Na chemchem ya maji ya zamzam ni athari ya mtoto ismail alipokuwa anagaragara chini wakati anataka kuchinjwa na Ibrahim,
Ndy kukatokea chemchem ya maji.

Sasa unataka uambiwe nn?
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Hujui chochote ulislam umeanza majuzi tu hapa miaka 500 baada ya yesu kuja .. Hilo hekalu la.suleiman lilikuepo tangu na tangu kabla ya uislam .. Unataka kusema mfalme Suleiman alikua muislam? Hujui chochote soma historia
 
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.

Issue ya mashariki ya kati si ya kidini:

IMG_20231216_142943.jpg
 
Nimekupa hadithi zinasema kwamba Ibrahim alipofika Makha akajenga lqaba.

Na chemchem ya maji ya zamzam ni athari ya mtoto ismail alipokuwa anagaragara chini wakati anataka kuchinjwa na Ibrahim,
Ndy kukatokea chemchem ya maji.

Sasa unataka uambiwe nn?
Alifikaje Mecca
 
Mi nikajua uislamu ulianzia huko macca na madina , kumbe ulianzia palestina tena!!! Basi hii dunia kuna mengi ya kujifunza
Wanasema yakobo, Ibrahim na yesu walikuwa waislamu pia😁
 
We jamaa huna akili kabisa Kama unawatoto basi ni aibu hata wao kukuita .. Kama unayoyaandika hapa ndio haya..
Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe ismail na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
 
We jamaa huna akili kabisa Kama unawatoto basi ni aibu hata wao kukuita .. Kama unayoyaandika hapa ndio haya..
Tatizo la wagalatia Ni kuamini zaidi kuliko maneno ya wachungaji wao kuliko uhalisia.

Ndy maana wachungaji mbalia mbali wanajifanyia wanavyotaka.

Jifunze dini yako uelewe..
 
Nimekupa hadithi zinasema kwamba Ibrahim alipofika Makha akajenga lqaba.

Na chemchem ya maji ya zamzam ni athari ya mtoto ismail alipokuwa anagaragara chini wakati anataka kuchinjwa na Ibrahim,
Ndy kukatokea chemchem ya maji.

Sasa unataka uambiwe nn?
Duh,​
 
Hujui chochote ulislam umeanza majuzi tu hapa miaka 500 baada ya yesu kuja .. Hilo hekalu la.suleiman lilikuepo tangu na tangu kabla ya uislam .. Unataka kusema mfalme Suleiman alikua muislam? Hujui chochote soma historia
Kama uislam umeanza majuzi,,
Mnabatiza watoto wenu wakristo ili iweje?

Kama mama mkristo na baba mkristo mtoto anazaliwa anakuwa sio mkristo kwann?

Kwann musilam akizaliwa hapelekwi kwa shehe kubatizwa awe muislam

Wacha kushupaza shingo... uislam ulikuwapo kabla ya mtume Muhammad (saw)

Ndy dini ya haki ya kuabudu MUNGU wa kweli, kwetu sisi binadamu na majini.
 
Back
Top Bottom