Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe ismail na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
Hujajibu swali: Je Ibrahim alikuwa muislamu?
Au kuna Edition tofauti za uislamu?
Hapo kwenye Alkaaba haukuwa msikiti bali ni jengo la kuabudia wapagani wakiabudu mizimu na kutoa sadaka za wanyama miaka mingi tu kabla ya uislamu kuanza.
Na ndani ya Alkaaba hakuna chochote zaidi ya jiwe jeusi. Alkaaba=Jiwe jeusi.
Utajiri wa Saudi Arabia ni pamoja na watalii ambao nyinyi mnaita mahujaji ambao kila mwaka sio chini ya 2M wanaoingia pale kwa ajili ya hija wanaingiza mapato kama watalii. Wakati mahujaji wanaenda kwa imani na kuchangia hela ukoo wa kifalme unafuja hela. Mtoto wa mfalme Saudi Arabia alitaka kuinunua Club ya Manchester United wakati nyinyi mnasema mpira haramu.
Swali liko pale:
Kama Ibrahim alikuwa muislam Mtume Mohammad S.A.W alianzisha nini?
Twende kwa hoja na aya za Quran.
 
Sasa wakati huo wa nabii ibrahim na suleman kwani uislamu ulikuwa umeshaanza?? Au kulikiwa na dini gani?? Mimi nikawa najua uislamu umeanza mwaka wa 600's Baada ya kuja kwa mtume muhammad S.A.W
Mkuu uislam ulikuwapo kabla ya kuja mtume Muhammad (saw) .
Watu baada ya miaka mingi walijisahau na kuanza kuabudu masanamu.

Ushawahi kumuuliza mchungaji wako kanisani kwann ili uwe mkristo lazima ubatizwe?

Kwann mtoto hazaliwi hali ya kuwa mkristo hadi atiwe maji..(abatizwe)

Ndy ujuwe mtu yeyote anapozaliwa anaziwa na Dini ya asili ambayo ni islam..

Hata ktk qurain inasema wazi kwamba habari hzi zipo kwenye vitabu vya ibrahim na mussa,,
Surat sabihisma.
 
Hujajibu swali: Je Ibrahim alikuwa muislamu?
Au kuna Edition tofauti za uislamu?
Hapo kwenye Alkaaba haukuwa msikiti bali ni jengo la kuabudia wapagani wakiabudu mizimu na kutoa sadaka za wanyama miaka mingi tu kabla ya uislamu kuanza.
Na ndani ya Alkaaba hakuna chochote zaidi ya jiwe jeusi. Alkaaba=Jiwe jeusi.
Utajiri wa Saudi Arabia ni pamoja na watalii ambao nyinyi mnaita mahujaji ambao kila mwaka sio chini ya 2M wanaoingia pale kwa ajili ya hija wanaingiza mapato kama watalii. Wakati mahujaji wanaenda kwa imani na kuchangia hela ukoo wa kifalme unafuja hela. Mtoto wa mfalme Saudi Arabia alitaka kuinunua Club ya Manchester United wakati nyinyi mnasema mpira haramu.
Swali liko pale:
Kama Ibrahim alikuwa muislam Mtume Mohammad S.A.W alianzisha nini?
Twende kwa hoja na aya za Quran.
Hata yesu alipoingia hekaluni akavunja vunja masanamu yaliyopo mle ndani..
Ina maana watu walisahau Mungu wa kwl wakaanza kuabudu masananu.

Kabla ya wakati wa mtume Muhammad (saw)kuzaliwa,,
watu waligeuza Alqaba kuweka masanamu yao na kuabudu..
Mtume alipopewa utume akawa na kazi ya kuwakumbusha waislamu na dini ya uslam.
Na kuwakumbusha binadamu kwamba --MUNGU ni mmoja,
--Hana mshirika,
--Wala hafanani na yeyote
--Wala hakuzaa
--Wala hakuzaliwa.

Ktk miujiza ya mtume Muhammad (saw)ni kwenda mbinguni kwa usiku mmoja na kurejea duniani.
Na sehem aliyoanzia safari ya kwenda mbinguni ni masjid Aqsa Gaza ambapo leo wayahudi wanasema ni wao.

Hii ni kithibitisho kwamba kuna connection ya uslam kati ya sehem waliyozikwa mitume ya MUNGU na uislam.
 
Ndy unajuwa leo kama Ibrahim alikuwa muislam?
--Hujuwi kama makaburi yao yapo Gaza?aliyezikwa Jerusalem ni YESU peke yake na sio wengine wote.
--Ibrahim,yakobo, Suleiman,nk wote wamezikwa masjid Aqsa Gaza.
--Huna habari kama ile Alqaba ya msikiti wa Makha ambayo waislamu wote huenda kuhiji amejenga Nabii Ibrahim na mwanae Ismail?

--Huna habari ukisikia kisima cha maji ya zam zam ni sehemu ambayo Ibrahim alitaka kumchinja mwanaye (ismail ) ile sehem ndy leo kuna chemchem ya maji ya zamzam..

--ibrahim ndy aliyeibariki SAUDI ARABIA na kwa utajiri walio nao.

--Baada ya MUNGU kumuamuru amchukuwe ismail na kumpeleka jangwani ,,
Sehem ambayo haina chochote ndy MUNGU akamwambiya Ibrahim nitabariki eneo hilo,,
Mkuu umevimbiwa na tende nini ? Snacks za Mudi!

Ibrahim alizikwa Jerusalem makaburi ya alcapela pamoja na Daudi na Suleiman.

Halafu Ibrahim hajawahi hata kukanyaga mecca ni uwongo mnapenda kujifariji vibarazani mkishashiba na kuvimbiwa na tende.

Ibrahim alitokea Mesopotamia ambayo sasa hivi ni Iraq.

Mnapendaga sana miuongo ya kujifariji.

Mudi ndo muanzilishi wa uislam the arab cult.
 
Mkuu umevimbiwa na tende nini ? Snacks za Mudi?

Ibrahim alizikwa Jerusalem makaburi ya alcapela pamoja na Daudi na Suleiman.

Halafu Ibrahim hajawahi hata kukanyaga mecca ni uwongo mnajifariji vibarazani mkishashiba tende.

Ibrahim alitokea Mesopotamia ambayo sasa hivi ni Iraq.

Mnapendaga sana miuongo ya kujifariji.

Mudi ndo muanzilishi wa uislam the arab cult
Hyo ni propaganda za wayahudi,
Leo nenda ukaonyeshwe kaburi la Ibrahim kama hawakukupeleka masjid Aqsa.
 
Hata yesu alipoingia hekaluni akavunja vunja masanamu yaliyopo mle ndani..
Ina maana watu walisahau Mungu wa kwl wakaanza kuabudu masananu.

Kabla ya wakati wa mtume Muhammad (saw)kuzaliwa,,
watu waligeuza Alqaba kuweka masanamu yao na kuabudu..
Mtume alipopewa utume akawa na kazi ya kuwakumbusha waislamu na dini ya uslam.
Na kuwakumbusha binadamu kwamba --MUNGU ni mmoja,
--Hana mshirika,
--Wala hafanani na yeyote
--Wala hakuzaa
--Wala hakuzaliwa.

Ktk miujiza ya mtume Muhammad (saw)ni kwenda mbinguni kwa usiku mmoja na kurejea duniani.
Na sehem aliyoanzia safari ya kwenda mbinguni ni masjid Aqsa Gaza ambapo leo wayahudi wanasema ni wao.

Hii ni kithibitisho kwamba kuna connection ya uslam kati ya sehem waliyozikwa mitume ya MUNGU na uislam.
Faraja za kidezi mkishashiba na kuvimbiwa tende. Endapo mudi angeanzisha uislamu kivyake bila kuiga kwa wayahudi na wakristo ingekuwa na mantik kama buddha na hindu.

Hata ile yake mudi ya kupenda farasi mwenye mabawa aliitunga baada ya kusimuliwa stories za Alexander the great yani jamaa
 
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
Wapalestina ndio wayahudi wa Kale proven by history na sayansi. Ashkenazi wanatoka Ukraine/Georgia na Maeneo mengine ya Ulaya Mashariki Proven by Historia na Sayansi.

Leo hii sababu Wasambaa ni Waisilamu Wana Haki ya kuwatoa waarabu wa Saudia Mecca?
 
Faraja za kidezi mkishashiba na kuvimbiwa tende. Endapo mid angeanzisha uislamu kivyake bila kuiga kwa wayahudi na wakristo ingekuwa na mantis kama buddha na hindu.

Hata ile yake mudi ya kupenda farasi mwenye mabawa aliitunga baada ya kusimuliwa stories za Alexander the great yani jamaa
Hakuna popote hata kwenye biblia imetajwa dini ya ukristo..

Nionyeshe kwenye biblia inaeleza kwamba manabii waliopita walikuwa wakristo.

Au yesu anasema nimetumwa na Mungu kueneza dini ya ukristo.
 
Faraja za kidezi mkishashiba na kuvimbiwa tende. Endapo mid angeanzisha uislamu kivyake bila kuiga kwa wayahudi na wakristo ingekuwa na mantis kama buddha na hindu.

Hata ile yake mudi ya kupenda farasi mwenye mabawa aliitunga baada ya kusimuliwa stories za Alexander the great yani jamaa
Atunge wakati hajuwi kusoma wala kuandika?
 
Hyo ni propaganda za wayahudi,
Leo nenda ukaonyeshwe kaburi la Ibrahim kama hawakukupeleka masjid Aqsa.
Mnakera sana na iyo dini yenu the arab cult ya Mungu mmoja hana mshirika jiulize kwani kuna Jiwe ngapi jeusi si ni moja tu mnalisujudia hatujakataa Mungu wenu mmoja hana mshirika. Jipambambanieni kivyenu na mila za kiarabu msituige kutoka kwetu na wayahudi. Mnakera
 
Lile jiwe limewekwa na Ibrahim na mwanae ismail,
Na pale ndy waislamu wote huelekea ktk kufanya ibada ya swala
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Wewe ni Punguani hata Basic story hujui... Robo tatu ya Historia ya Israel na Agano jipya imetokea Judea na Sumeria au westbank
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Ibrahim inasemekana Amezikwa Hebron, Hekalu la Suleiman lilikuwa Jerusalem, Gaza walikuwa wanakaa Watu wanaitwa Wafilisti na haikuwa na humuhimu wa kisiasa enzi hizo
 
Ibrahim inasemekana Amezikwa Hebron, Hekalu la Suleiman lilikuwa Jerusalem, Gaza walikuwa wanakaa Watu wanaitwa Wafilisti na haikuwa na humuhimu wa kisiasa enzi hizo
Zote editing za wazayuni kutaka kufuta history ya uislam kama walivyofanikiwa kufuta kwa rangi ya YESU
 
History za ku edit sio?
Al-Aqsa Mosque iko Jerusalem, Kaburi la Ibrahim liko Hebron upande mojawapo ni Sinagogi upande wa pili ni Msikiti Hebron iko West bank au Judea-Sumeria. Huo Msikiti Waislam wanauita Masjid Ibrahim
 
Wapalestina ndio wayahudi wa Kale proven by history na sayansi. Ashkenazi wanatoka Ukraine/Georgia na Maeneo mengine ya Ulaya Mashariki Proven by Historia na Sayansi.

Leo hii sababu Wasambaa ni Waisilamu Wana Haki ya kuwatoa waarabu wa Saudia Mecca?
Kama Wapalestina ni wayahudi wapalestina wamekaa wapi
 
Back
Top Bottom