Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Quran Inasema Israel ni Ardhi ya Wayahudi

Sawa waliiba,,
Iweje makaburi yawe ya kiislam?

Hata Suleiman na Ibrahim waliozikwa Gaza pia waliiba eneo sio?
Unatakiwa ufahamu hili.
Waisrael walienda utumwani Misri, hapo nazungumzia Yakobo na uzima wake. Kwa muda waliokuwa huko ardhi au nchi yao ilivamiwa na watu wengine ,wakafanya makazi, hivyo wafu wao walizikwa humo, ndiyo maana.makaburi yapo.
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..
Wanataka kuweka kumbu kumbu sawa, Ibrahim hakuwahi kuwa mwislamu. Kwanza Uislam umekuja baadae sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
 
Mb

Hao mitume na manabii uliowataja wote ni wayahudi au waisrael waliofuata dini ya kiyahudi siyo uislam wala ukristo.
Hakuna mtume mkristo hao walikuwa mitume wa kiisraeli kwa nasabu, na dini yao ilikuwa uislamu na ujumbe wao ni mmoja, mtume gani alikuja kulingania utatu mtakatifu?! unaweza kumtaja hata mmoja?.
 
Wanataka kuweka kumbu kumbu sawa, Ibrahim hakuwahi kuwa mwislamu. Kwanza Uislam umekuja baadae sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Uislamu ni nini? unafahamu ibrahim ndiye aliyeimarisha kuta za nyumba tukufu ya al kaaba kule makkah, Ibrahim alikuwa dini gani kwa mujibu wa maarifa yako, na ulete ushahidi, karibu kwa mjadala.
 
Wanataka kuweka kumbu kumbu sawa, Ibrahim hakuwahi kuwa mwislamu. Kwanza Uislam umekuja baadae sana.

Sent from my SM-A6050 using JamiiForums mobile app
Changamoto ni moja nyie wagalatia mnadhani uislam ni huu mnauona wa kuvaa kanzu, uislam ni maana na maana yake ni kujisalimisha kwa Mungu mmoja na kwa maana hio hata mkristo ambae anaamini kwa Mungu mmoja ambae sio Yesu nae ni mwislam na wapo wakristo ambao hawaamini Yesu kama Mungu hao hata pepo wataiona tatizo liko hapo tu.

Hao manabii wote ni waislam kwa maana ya kumuamini Mungu mmoja wa kweli alie watuma na hawakukufuru hivyo kimsingi wanaqualify kuwa waislam. Na anaye amini kingine zaidi ya Mungu wa kweli wahao manabii ni kafiri.
 
Shosti Faiz analijua hili!?
Mama wa 'kimbembe' yule.Kila comment yake lazima aseme 'kimbembe wanachokipata mazayuni kule Ghaza'.Anajikuta yeye ni mwarabu pure wa Oman kumbe mmatumbi wa Sitimbi huko
 
Hata yesu alipoingia hekaluni akavunja vunja masanamu yaliyopo mle ndani..
Ina maana watu walisahau Mungu wa kwl wakaanza kuabudu masananu.

Kabla ya wakati wa mtume Muhammad (saw)kuzaliwa,,
watu waligeuza Alqaba kuweka masanamu yao na kuabudu..
Mtume alipopewa utume akawa na kazi ya kuwakumbusha waislamu na dini ya uslam.
Na kuwakumbusha binadamu kwamba --MUNGU ni mmoja,
--Hana mshirika,
--Wala hafanani na yeyote
--Wala hakuzaa
--Wala hakuzaliwa.

Ktk miujiza ya mtume Muhammad (saw)ni kwenda mbinguni kwa usiku mmoja na kurejea duniani.
Na sehem aliyoanzia safari ya kwenda mbinguni ni masjid Aqsa Gaza ambapo leo wayahudi wanasema ni wao.

Hii ni kithibitisho kwamba kuna connection ya uslam kati ya sehem waliyozikwa mitume ya MUNGU na uislam.
Waislam Bwana, mnadanganyika kirahisi sana.
Kuna ushahidi gani kuwa mtume alienda Mbinguni? Si alisema yeye mwenyewe? Ana shahidi?
Si hata mimi naweza nikatangaza nimeenda mbinguni kwahiyo mtaamini?
 
Wapalestina ndio wayahudi wa Kale proven by history na sayansi. Ashkenazi wanatoka Ukraine/Georgia na Maeneo mengine ya Ulaya Mashariki Proven by Historia na Sayansi.

Leo hii sababu Wasambaa ni Waisilamu Wana Haki ya kuwatoa waarabu wa Saudia Mecca?
Allah anaposema kiama hakitafika hadi pale waislamu watawapiga wayahudi hadi mawe yatawaambia waislamu"huyu hapa myahudi kajificha nyuma yangu,njooni mmue"..
So,kwa dai ili unakusudia ueleweke kuwa wataopigwa na waislamu ni wapelestina hawa hawa akina Abbas maana ndiyo wayahudi orijino kwa mjibu wa dai lako?.


Kitu ambacho muislam hawezi danganya hakijawai kuwepo.
 

Attachments

  • 20231212_101334.jpg
    20231212_101334.jpg
    73 KB · Views: 21
Mama wa 'kimbembe' yule.Kila comment yake lazima aseme 'kimbembe wanachokipata mazayuni kule Ghaza'.Anajikuta yeye ni mwarabu pure wa Oman kumbe mmatumbi wa Sitimbi huko
🤣😂
 
Hakuna mtume mkristo hao walikuwa mitume wa kiisraeli kwa nasabu, na dini yao ilikuwa uislamu na ujumbe wao ni mmoja, mtume gani alikuja kulingania utatu mtakatifu?! unaweza kumtaja hata mmoja?.
Hawakuwa waislam walikuwa wayahudi(Jews) dini yao Judaism.

Waislam ni kujipendekeza tu kuwaita manabii na mitume wa kiyahudi kuwa hao ni waislam.
Uislam wenyewe umekuja na Muhammad karne nyingi baada ya Ukristo ambao nao umekuja karne nyingi baada ya Uyahudi (Judaism).

Torati (Torah) haikuletwa na Muhammad bali na Mose (Moses/Mousa/Musa/Moise) ambaye hakuwa muislam kwa vile wakati huo Korani/Quran ilikuwa hajateremshiwa Muhammad.

Hadi leo hii vitabu vya dini ya Abraham(Ibrahim) na Yakobo(Israel/Yakub) vipo katika muundo ule ule na lugha Iie ile kwenye masinagogi ya kiyahudi na vitabu vya waislam vipo kwenye Quran kama wakati wa Muhammad kuonesha hizi ni dini mbili tofauti ingawa nyingine imezaliwa toka kwa nyingine.

Islam is one of the derivatives of Judaism religion, though Judaism and Islam are not one and the same.

Very irony and probably absurd when Muslims claim retrospectively that Jews were Muslims and their religion was Islam.
 
Kuna waislam, wasomi wa dini ya Kiislam ambao wanasema wazi kuwa Quran imetamka wazi kuwa Israel ni ardhi ya Wayahudi, na kama wao waislam watataka kuichukua ardhi hiyo, wataanguka na kushindwa.

Moja ya maandiko wanayorejea kwenye Quaran, ni Sura 5 verse 21 kwenye kuran, ambayo inasema kuwa, "Israel ni ya Wayahudi".

Andiko zima, rejea hapa chini:

Khaleel Mohammed, Islamic Law scholar of the San Diego State University, noted that Sura 5 verse 21 of the Qur'an, and the medieval exegetes of the Qur'an, say that Israel belongs to the Jews. He translates it thus:

[Moses said]: O my people! Enter the Holy Land which God has written for you, and do not turn tail, otherwise you will be losers." Mohammed here understands "written" to mean this is the final word from God on the subject. In reaction, he was inundated with hate mail.[4]

And We said to the Children of Israel after Pharaoh, “Reside in the land, but when the promise of the Hereafter comes to pass, We will bring you all together.”

— Surah Al-Isra 17:104

And ˹remember˺ when Moses said to his people, “O my people! ...Enter the Holy Land which Allah has destined for you ˹to enter˺. And do not turn back or else you will become losers.”

— Surah Al-Ma'idah 5:20-107

Kuna maandiko mengi ambayo yapo ndani ya Quran kwa usahihi, lakini kuna waislam, labda kwa ubinadamu na chuki zao, hawataki kuyarejea. Hata Yesu Kristo Masiha ametajwa kwa heshima kubwa kwenye Quran, tena Muhamad anasema kuwa yeye ni mfuasi namba moja wa Yesu (Isaih). Quaran inasema kuwa Yesu (Isaih) atakuja siku ya mwisho, kuja kukilalia kiti cha Daud, atakuja kuwahukumu wanadamu, lakini kwa vile tu wakiyarejea hayo kwenye Quran, wataonekana wanawaunga mkono wakristo, wanaamua kuyakwepa maandiko hayo yaliyopo ndani ya Quran. Tena Quran inasema, itakuja wakati waislam watakuwa kitu kimoja na wakristo. Maneno hayo yapo kwenye Quran, lakini hawataki kabisa kuyasema. Wao wanatafuta zaidi maandiko wanayoona yanaweza kupalilia uhasama, huku wakisema kuwa uislam ni dini ya haki. Haki ipi, kama unafurahia utengano badala ya mshikamano?

Waarabu wa Palestine, wakiri kuwa Canaan ilikuwa ya Wayahudi lakini ndani yake kulikuwa na jamii nyingine pia. Kama mataifa mengine, ndani ya Taifa moja wanaishi watu wa dini tofauti, makabila tofauti, watu wenye asili tofauti, kwa nini hiyo Israel na maeneo hayo yanayokaliwa na Wapalestina, isiwe yote ni nchi moja yenye jamii za watu tofauti? Kama Tanzania imewezekana, Marekani imewezekana, Canada imewezekana, kwa nini ishindikane hapo Mashariki ya kati?

Tanzania ina wahindi, waarabu, wabulushi, wasomali, wahutu na watusi wenye asili ya Burundi na Rwanda, na makabila yetu ya kibandu kibao. Tuna wakristo, wahindu, baniani, waislam, imani za matambiko, n.k; mbona tunaishi bila shida? Kwa nini Waarabu huwa wanapenda waishi wao pekee yao? Kwa nini mataifa hawaweki mkazo zaidi kuwe na Taifa moja linalojumuisha jamii ya Wayahudi na waarabu, wanaoishi kwa amani? Huenda mchanganyiko huo, baadaye ungeweza kusaidia kuwabadili waarabu ambao kiasili inaonekana ni watu wanaopenda kuuana.
DNA kwani zinaonesha nani ni mwenye asili ya eneo hilo Kati ya Mpalestina na Mzayuni?.
 
Aliye kuwambia Qur'an inasema Israel ni taifa la wayahudi nani? Wakati Qur'an imeshuka kulikuwa na nchi inaitwa Israel? We kichaa nini.

Mussa alikuwa dini yake nani? Leta wapi Mussa alisema yeye dini yake Myahudi??

Bani Israel si nchi dogo, Bani Israel ni watoto wa Yakobo wako walio fata dini na wako washenzi wasio fata dini.

Walio fata dini ni Waislam wanamini Mungu ni mmoja tu aliye umba kila kitu, hagananishei kitu, sio wakristo wala Wayahudi wanamini vile.

Wanao amini dini Mungu ni mmoja tu hao ndio ardhi yao hapo kwacsasa mnapaita Jerusalem au Palestina au Israel kwa sasa.
 
Israel ya wayahudi ni Jerusalem na sio Gaza.

Gaza for Palestinians..

Wanachofanya wayahudi ni kutaka kuufuta uislam na Palestine ,
ndy maana wanataka waichukuwe Gaza na kubadilisha kila history ya uislam uliopo Gaza...

Kama hujuwi.
Gaza ndy kwenye msikiti wa Nabii Suleiman masjid aqsa,
Wamezikwa mitume na wake zao kama Ibrahim,Yakobo,
Ishaka,nk.
Gaza ndy kwenye history kubwa ya uislam.
Gaza ndy ina msikitini muhimu sana ktk uislam.Masjid Aqsa.

Hapo waisarael ndy wanataka wachukuwe na kubadilisha history nzima ya uislam ionekane kwamba Ibrahim na kizazi chake hawakuwa waislam..

Unafahamu Israel hyo iliyoandikwa kwene vitabu mipaka yake
 
Waislam Bwana, mnadanganyika kirahisi sana.
Kuna ushahidi gani kuwa mtume alienda Mbinguni? Si alisema yeye mwenyewe? Ana shahidi?
Si hata mimi naweza nikatangaza nimeenda mbinguni kwahiyo mtaamini?
Kama una dalili zote za kiutume kwa nn tusikuamini?
 
Back
Top Bottom