QUOTERS Toka kwenu wana JF

Tobii

JF-Expert Member
Jul 22, 2016
282
285
Habari wana JF
Hapa JF tushakua na thread kuhusu what called"Famous people with their QUOTERS" Naomba tupate QUOTERS za kujenga toka kwenu wana JF zenye kujenga na kuzitafakari katika maisha kwasababu naamini mnazo, nataka nizipate toka kwenu.
Mimi naanza Yangu"Kutoka sifuri mpaka mafanikio inawezekana ukiweka Juhudi, hakuna Muujiza katika Mafanikio,pambana,tunza kumbukumbu zako zikupe mwelekeo wako kama ni hasara au faida katika uyafanyayo"
 
"kutumia kipawa chako(karama) uliyopewa bure na MUNGU kuwasulubu wengine,ni kumuaibisha MUNGU jitafakari"
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom