Quote ya Mapenzi niliyoiona leo!

Quote ya Mapenzi niliyoiona leo!

Mkuu fazaa! jana ile hoja yangu ya kuwakumbuka sabato masalia! mods wameitoa bana..sijui ilikuwa inamakosa gani..nilitaka kufahamu kuhusu kundi la YESU NI JIBU...
Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul.
 
Ahhh mimi ni mfuasi wa Yesu kwa kupitia Prophet Muhammad sio kina Paul.

Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii
 
Fantastic! mkuu nimeipenda sana hii. naomba unipe hayo maarifa vizur, na kuna weng sana huku watanufaika na hyo elimu. maza 1 aliwah nidokezea hii
Si unaju mimi huwa simpingi Yesu, mana alisha sema Yeye kaja kwa Kondoo tu wa kiyahudi, nikimpinga takuwa simfuasi wake :biggrin1:

Basi tena tuwache mambo ya dini, mkileta leta dini hapa mimi naonekana mbaya kwa kuwapa watu ukweli, mana siogopi kitu 😛oa
 
Sex is a momentary itch, never let love ruins your life.

Bazazi!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom